Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

Mambo haya yanachanganya sana elon musk sku ya mwisho anarusha rocket yake ya kwanza iliyo fanikiwa alienda na kijiti cha kichawi ndo ikatiki rocket yake yeye alidai cha bahati haya mambo bwana
 
Kuna mtu aliwahi kusema kama huwezi kumnywesha uji nyoka basi wewe utaenelea kuwaita watu mafrimason mpaka unakufa.
 
Back
Top Bottom