Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

Sasa hapo si ndio kama hayo masharti ya kichawi tu kama ndio hivyo?
Watu maskin bwana..umaskin unaharibu sana akili. Kwaio mtu asipofanya NGONO ni masharti 😂😂😂...asipokula kitimoto ni masharti. .mna kazi sana ..ccm hawawez kuachia nchi aise kwa akili hizi
 
Umenielewa kweli mkuu?

Nachokisema kama utajiri ni kuishi maisha ya kujibana namna hiyo basi inakuwa hakuna tofauti na story zinazoelezwa humu ambapo watu wanaona huo utajiri wa kishirikina unakufanya ushindwe ku enjoy huo utajiri wako kutokana na jinsi masharti yalivyo.
 
Masikini siku zote wanawaona waliofanikiwa ni wachawi
Muda huo huo wanalala saa mbili na wake zao na kuamka saa mbili asubuhi wakitoka kupata morning glory

Tajiri anaweza choma mwezi hajaonja mbususu hiyo morning glory hata haijui ladha yake
Nimekuelewa sana mkuu umesema kitu kweli kutoka ndani
 
Nje ya mada...Hivi mtu unawezaje kujua mganga sahihi kwa shida yako husika au waganga wote wanakuwa na ujuzi wa kazi zote za kiganga?
hapana mara nyingi tunaenda kwa connection za watu kwa jambo husika mfano una jamaa anamjua mtaalamu fulan ambae amebobea kwenye jambo husika pengine alisimuliwa kwamba ni bingwa wa mambo fulan so nawe utapitia humohumo, kupitia shida yako husika ila kiufup kila mtaalamu anabobea kwenye jambo lake iwe unaumwa,mapenz,nk ila suala la pesa za ndagu ni siasa na huwez kuta mganga anakwambia hawez ila utapewa mashart magumu ili ushindwe wewe mteja, mganga hajipi kesi kwamba kwa hili siwez zaid wewe ndio utaonekana umezingua na kwenda kuendeleza story vijiweni na ukiweza kufanya kinachofuata ni jera ndio yale yale kalete mkono wa albino
 
Lazima akupe sharti unaloshindwa, ngoma inaanza anakwambia Sawa zetu zitakuwa za hatua tatu, tunaanza na ya kwanzaz then pili na mwisho ya tatu, ukishinda zote utafanikiwa, anakupa moyo kuwa utaweza, ya kwanza Rahisi, kuanzia ya pili na ya tatu hutoboi
 
hapana mara nyingi tunaenda kwa connection za watu kwa jambo husika mfano una jamaa anamjua mtaalamu fulan ambae amebobea kwenye jambo husika pengine alisimuliwa kwamba ni bingwa wa mambo fulan so nawe utapitia humohumo, kupitia shida yako husika ila kiufup kila mtaalamu anabobea kwenye jambo lake iwe unaumwa,mapenz,nk ila suala la pesa za ndagu ni siasa na huwez kuta mganga anakwambia hawez ila utapewa mashart magumu ili ushindwe wewe mteja, mganga hajipi kesi kwamba kwa hili siwez zaid wewe ndio utaonekana umezingua na kwenda kuendeleza story vijiweni na ukiweza kufanya kinachofuata ni jera ndio yale yale kalete mkono wa albino
Mambo ya waganga ni changamoto sana, mbali na masuala ya ndagu wapo watu wana maradhi au shida zao ila wamezunguka sana kwa waganga ila wameishia kukata tamaa tu, na wapo waliyokuja kupona baada ya kukata tamaa huko karibu wamalize waganga.

Asante mkuu kwa kushare uzoefu wako.
 
Masikini siku zote wanawaona waliofanikiwa ni wachawi
Muda huo huo wanalala saa mbili na wake zao na kuamka saa mbili asubuhi wakitoka kupata morning glory

Tajiri anaweza choma mwezi hajaonja mbususu hiyo morning glory hata haijui ladha yake
Safi, mtu ana amani kitu ambacho hana uwezo wa kukifanya , kuwa ni miujiza fulani inatumika kwa wenye uwezo wa kukuifanya
 
Tajiri anaweza choma mwezi hajaonja mbususu hiyo morning glory hata haijui ladha yake
100% ukweli mtupu na wala hii sio stori, na ndio maana wale zao wanagongwa na wahuni wa mtaani. Yaani ukitapa pesa mambo mengi ya kiduni yanakupita
 
And the vice versa unaweza kuwa Huwa hela unachakata mashine kama umezaliwa nayo na bado wana wakaichapa vile vile kwakuwa huna hela ,😂😂😂😂
 
Unlikely, wanawake wenye maisha yaloyochoka na waume zao sio rahisi michezo ya kuchepuka, zaidi ni hawa wenye middle income ndio wanajuaambo ya Starehe wanataka kufantasize. Hawa wanaochakatwa nna wahuni ni wale wanataka simu za bei kubwa, iPhone, mafuta ya gari n.k

Hawa jamba Nani wakishachakatwa na waume zao hawana mambo mengi
 
Kumchizisha ndugu yako awe ndondocha, kila siku unaporudi unajijua wewe ndio chanzo chake kuwa chizi

Kumuua mzazi wako, mtu aliekuleta duniani umemtoa duniani anatumika kama msukule.

Kumuua mtoto wako, damu yako umeitowesha duniani kwasababu ya tamaa yako ya pesa.

kukatazwa kusaidia ndugu, wazazi na marafiki, kusaidiaa ni ndani ya kikundi cha waliokubali masharti au watu wataotumika hapo baadae kwenye mambo ya kafara

Kukatazwa kushiriki mapenzi, hapa unapewa masharti ukitaka kushiriki mapenzi shiriki na mtoto wako wa kike, ndugu uliemgeuza kuwa ndondocha au kushiriki mapenzi ya jinsia moja, pisi kali unaishia kupiga nazo picha tu

kukatazwa kula vyakula vizuri kama nyama, wewe ni kushindia viazi, ugali figili, n.k. kwa kuwa pesa zipo ni rahisi kuonekana unakula diet ila chamoto lazima ukione, pesa ya kuku choma ipo lakini umekatazwa
Mzee tafuta hela acha mawazo ya kimasikini.
 
Back
Top Bottom