Nini tena kaka mbona sielewiMENEMENE TEKERI NA PERESI Jane Msowoya malizaneni tofauti zenu wakuu
Malizeni tofauti zenuNini tena kaka mbona sielewi
Imani tu, utajiri ni tokeo la mbinu na juhudi za utafutaji pamoja na nidhamu ya pesa.Mwanzoni wanadanganya utatoa sadaka ya wanyama, Ukishaijua ladha ya utajiri gia zinabadilishwa angani.
utaamriwa kutoa kafara za watoto, wazazi, ndugu, mke, rafiki yako mkubwa, n.k.
Kafara za utajiri wa masharti ni vitu ambavyo huwa vinakuumiza unapovitoa. Hawahitaji Kafara kutoka kwenye utajiri waliokupa, Ukitoa kafara ya wanyama, unatumia utajiri wao kununua wanyama, ni kama kurudisha walichokupa. wanachotaka ni sadaka inayotoka kwako binafsi, isiyohusiana na utajiri waliokupa.
UKIKATAA KIBAO KINAKURUDIA WEWE
Mkuu wewe ushawahi kujaribu lololte katika hayo mambo ili kujua ukweli?Kwa hiyo kuambiwa tu hivyo tayari umeamini bila kujaribu, siyo?
Wanajificha kwenye vichaka vya ulokole na stori za kutunga, ila umaskini unawala mpaka makalioni kwaoLosers mara nyingi wanatafuta sababu
Nje ya mada...Hivi mtu unawezaje kujua mganga sahihi kwa shida yako husika au waganga wote wanakuwa na ujuzi wa kazi zote za kiganga?Nasikitika kuona had jf kuna watu wanaamin pesa za ndagu ni mimi peke yangu sijaambiwa wala kusimuliwa nimeenda kwa waganga 40 sehem tofaut tofaut ndan ya africa najivunia kusema hakuna sehem niliyofanikisha kupata huo utajir zaid porojo za waganga mimepoteza karibu milion 25 uzur pesa ya urith nilikuwa nayo sikupata shida najivunia kusema ukiona mtu anaamin haya mambo jua akil yake ameshindwa kuihangaisha kupata mbadala wa matatizo yake
Ujinga na ufala huenda pamoja, imani zimezidisha umaskini kwa watu weusiIla wabongo mna ujinga mwingi sana, majini yanamtokea yeye wewe umejuaje?
Mkuu kama hujawahi kuwa masikini huwezi kutuelewaMENEMENE TEKERI NA PERESI Jane Msowoya malizaneni tofauti zenu wakuu
Bado Kuna fursa mahali?Jane Msowoya umeolewa mkuu?
Masikini siku zote wanawaona waliofanikiwa ni wachawiI like you Jane Msowoya hukwepeshagi maneno just like that hahaha
Ni ukweli 😂😂😂😄😄 Nimecheka
Sasa hapo si ndio kama hayo masharti ya kichawi tu kama ndio hivyo?Masikini siku zote wanawaona waliofanikiwa ni wachawi
Muda huo huo wanalala saa mbili na wake zao na kuamka saa mbili asubuhi wakitoka kupata morning glory
Tajiri anaweza choma mwezi hajaonja mbususu hiyo morning glory hata haijui ladha yake