Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

Kwa masharti na stress hizi utazopitia, Utajiri wa ndagu ni heri kuwa masikini tu

Hii kuna mtoto wa kike kwa visanga vya kweli nilisoma kwa handle moja huko insta ni duh na baba yake na alimwambia sababu au ndio iwe kuepuka mengine.. Na utajiri wanao hadi kesho naye kaolewa na bado mambo yanaendelea though imepungua kwa mwaka

Maisha haya kila mtu na lake
Mkuu,
Unatumia engine gani kutafsiri unachoandika?
 
Nasikitika kuona had jf kuna watu wanaamin pesa za ndagu ni mimi peke yangu sijaambiwa wala kusimuliwa nimeenda kwa waganga 40 sehem tofaut tofaut ndan ya africa najivunia kusema hakuna sehem niliyofanikisha kupata huo utajir zaid porojo za waganga mimepoteza karibu milion 25 uzur pesa ya urith nilikuwa nayo sikupata shida najivunia kusema ukiona mtu anaamin haya mambo jua akil yake ameshindwa kuihangaisha kupata mbadala wa matatizo yake
Una milion 25 then still ulikuwa unatafuta pesa za mauza uza 🙌😁

Aisee kweli watanzania tuna ujinga mzito , hiyo pesa ukiizungusha mkoba wowote ule cit center siunakuwa na uchumi mzuri tu
 
Vijana mnaosemaga hakuna uchawi,hakuna utajir wakishirikina au aukuna mafanikio ya ushirikina mnatakiwa nanyie mtoke apo majumbani kwa mashemeji zenu muanze kujitegemea ndio mtagundua aya mambo yapo au la!. Watu wanamiliki ukwasi kwa njia zakishirikina,watu wanakua viongozi kupitia njia za kishirikina,watu wanafanya biashara na kuvuta wateja kishirikina,watu wanarogwa wawe vichaa,watu hupewa magonjwa mazito kwa kurogwa,watu wanakufa kwa mazingira tatanishi,kuna watu wanajilinda kishirikina apa dunian sasa ninyi vijana mnaotaka kuamini kwa kuona mnatakiwa mtembee muone na mjipe nafasi yakujiuliza maswali flani juu ya vitu mnavyoviona na kuna vitu vingine ukija kusibitisha ukweli wake ujue nawewe ndio mwisho wako wa maisha au ndio chanzo chako cha magonjwa yasiotibika au
😄😄😁 Acha basiiii
 
Aya mambo huwa yapo, katika harakati zangu za ujana nilijikuta nimeingia chimbo moja. Maelekezo waliyonipa, sitakiwi kuchepuka, sitakiwi kunywa pombe, sitakiwi kula kitimoto, kutoa sadaka kila mwaka (mnyama). kama ningekubali, wangenichana sehemu ya mwili na kupandikiza dawa iliyofungwa kwenye ngozi ya mnyama (jini). Mafanikio yangeonekana kwa kila ninachokifanya kinakuwa kinazaa mara dufu. Swali, unakuwa na hela ila uzifurahii ni nini maana ya hela?​
Ungekubali hiyo kafara ya mnyama baadae ungeambiwa ni mtu ni si mnyama kama ng'ombe wala mbuzi
 
Nafurahia maisha nayoishi,nafurahia wengine wakifanikiwa pia.
Ingawa wivu wa kimaendeleo unakujaga ila ni harmless,wala sina wivu wenye madhara kwa wengine.

Sitaenda upande wa pili ili nipate mafanikio makubwa ambayo sijatoa jasho langu katika hayo yote naamini Mungu wangu.

Kila kitu uja na wakati wake,nafurahia maisha naishi
 
Nafurahia maisha nayoishi,nafurahia wengine wakifanikiwa pia.
Ingawa wivu wa kimaendeleo unakujaga ila ni harmless,wala sina wivu wenye madhara kwa wengine.

Sitaenda upande wa pili ili nipate mafanikio makubwa ambayo sijatoa jasho langu katika hayo yote naamini Mungu wangu.

Kila kitu uja na wakati wake,nafurahia maisha naishi
Good
 
Back
Top Bottom