Mwanzoni wanadanganya utatoa sadaka ya wanyama, Ukishaijua ladha ya utajiri gia zinabadilishwa angani.
utaamriwa kutoa kafara za watoto, wazazi, ndugu, mke, rafiki yako mkubwa, n.k.
Kafara za utajiri wa masharti ni vitu ambavyo huwa vinakuumiza unapovitoa. Hawahitaji Kafara kutoka kwenye utajiri waliokupa, Ukitoa kafara ya wanyama, unatumia utajiri wao kununua wanyama, ni kama kurudisha walichokupa. wanachotaka ni sadaka inayotoka kwako binafsi, isiyohusiana na utajiri waliokupa.
UKIKATAA KIBAO KINAKURUDIA WEWE