Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

Sasa tunapita kura za Nini?
 
Tatizo linakuja hao ambao unataka wawe wanachagua nao pia wanakuwa ni mapanya buku,wanatafuna hela hatar
Hii nchi hata aongoze baba yako atatafuna ela tu, tena wewe ndio ungekuwa mtoto wa raisi ela ungekua unatwanga kwenye kinu afu unabwia kama bwimbwi,. Nakujua unavyopenda hanasa ni vile tu baba yako sio raisi
 
Hakuna mtu utakayempa madaraka ya nchi akakosa kujali masilahi yake familia yake kwanza acha ujinga ndugu. Hivi unatumia akili gani kufikiri au ni unatumia matako?

Em fikilia kaka yako ndio tumpe uraisi je wewe utakuwa wapi?
 
Tlaahtlaah anatofauti Gani na Lukas Mwashambwa?!!!!
 
Kama ni hivyo kwa nini basi uitishwe Uchaguzi unaosimamia general election na kupoteza hela za walipa Kodi?
Kwa nini watoke kwenye chama kimoja?
Tunaitisha uchaguzi ili tuwapate wenye viti wa vitongoji
Over
 
Madhara ya st. Kayumba haya.
Mkuu unazisingizia tu St. Kayumba maana wapo waliopita Kayumba ila wapo vizuri upstairs.

Huyo mleta mada ni mzimu uliofungiwa chumbani sasa sijui umeokotea wapi smartphone ukaposti mashudu haya.
 
Mimi ni paka kama wewe tu, ambaye unashadadia vitu usivyo vijua Mazala yake kwako taifa na vizazi vyako, tena wewe ndio paka shume kabisa
Sasa basi kwanini tupoteze pesa tusiamue nchi iwe ya chama kimoja kama ilivyo ccp ya china kuliko kufanya maigizo yanayotumia pesa nyingi?
 
Mkuu unazisingizia tu St. Kayumba maana wapo waliopita Kayumba ila wapo vizuri upstairs.

Huyo mleta mada ni mzimu uliofungiwa chumbani sasa sijui umeokotea wapi smartphone ukaposti mashudu haya.
Nimeokota mahali ambapo wewe umeokota smartphone, ila ngoja nikuulize kitu mzimu mwenzangu umefungiwa chooni au makaburini maana mwenzio huku chumbani napata raha kishenzi
 
"Mjinga akielimishwa anaelewa, lakini mpumbavu huwezi kumuelimisha, kwani upumbavu ni sifa ya kuzaliwa nayo, kama ilivyo kwa ufupi na urefu"- Mwalimu Nyerere.
 
Mimi ni paka kama wewe tu, ambaye unashadadia vitu usivyo vijua Mazala yake kwako taifa na vizazi vyako, tena wewe ndio paka shume kabisa
Huu ujumbe aliye uanzisha na wewe uliye uchangia akili zenu ziko matakoni kama nyuki siyo kichwani.

Na kwa jinsi mnavyo mdhiaki Mungu kwa kujifanya watakatifu wa kulinda amani ya nchi, wakati unakuja sasa muda utaongea ambao Mungu atashusha mapigo ya live kwa hilo taifa mnalo lidhurimu kwa kisingizio cha amani.

Mnatafisiri aman ya mwili tu mnaona mambo yako sawa bila kuzingatia Amani ya roho.

Mioyo ya watu ina majonzi, raslimali zao zimeporwa, familia zimepoteza wapendwa wao, imefika maali ata mmeanza kugusa uhuru wa kuabudu, hv mpaka KANISA katoliki limepiga marufuku viongozi wa serikali na siasa zao wasisimame madhabahuni wewe Bado unaiona amani kweli? MATAKO NINI WEWE???

AU NDIO MNA ANZISHA HUZI ILI MPATE WAKUTEKA WENGINE......?
 
Nimeokota mahali ambapo wewe umeokota smartphone, ila ngoja nikuulize kitu mzimu mwenzangu umefungiwa chooni au makaburini maana mwenzio huku chumbani napata raha kishenzi
😂😂 Unarudia kusema nilichosema?

Huna jambo jipya la kuandika? You're a certified idiot ndiyo maana unaandika pumba tupu humu.
 
😂😂 Unarudia kusema nilichosema?

Huna jambo jipya la kuandika? You're a certified idiot ndiyo maana unaandika pumba tupu humu.
Mi nimeandika pumba tupu sawa ila wewe ndio umeandika mavi kabisa, sasa hiko kizungu ndio tukuone umesoma? Toa bajaji nje uende barabarani mjinga wewe.
 
Unaonekana wewe ni maskini wa akili na wa mali pia.
Nikuase sana ndugu yangu wekeza sana nguvu yako na maarifa yako kwenye kujitafutia kipato cha kuweza kujikimu wewe na familia yako.

Hayo unayoyawaza sio mwarobaini wa umaskini wetu, hata awe nani ndio raisi kama hautafanya kazi bado utaona hali ni ngumu tu.
 

hoja ama swali la kipumbavu Hujibiwa kipumbavu vile vile. Hv kweli nyakati hizi umekaa ukawaza ukaona uandike kutushauri kwamba unaona ni bora uchaguzi usiwe huru na haki??? Ccm yenyewe inaimba uchaguz utakuwa huru na wa haki, sasa wewe ni chama gani ndugu kama siyo robot. Ndio maana ulijibiwa kijinga kwasbb ya kuleta hoja za kijinga.
 
Ndio maana Mimi nasema kila mara hapa kwamba mwalimu akujiandaa na mikakati madhubuti juu ya kuanzisha mfumo wa ujamaa ndio mambo Aya yanayoendelea sasa ni yeye mwalimu wa kulaumiwa na ccm ni muda sasa wa kutoka madarakani.
 
Mkuu kwa masilahi mapana ya Taifa si ujipeleke Ukonga ukalitumikie Taifa?
 
Enheee. Nchi yetu imejaa machizi wengi sana mitaani, hivyo tukiruhusu mawazo yenu ya kichizi yachague rahisi tutakuja kupata maraisi machizi pia, ifikie siku moja uchaguzi mkuu uwe wa wenyeviti wa vijiji tu.
Hivi umechukulia kuwa mwandiko wangu hapo ulikuwa na nia ya kupoteza muda kwenye uchizi wa aina hii?
 

Punguzeni uongo. Wanaondamana ni democrats sio Republicans, Tena wanaondamana Toka day one. Pia mfumo wa marekani hauangalii popular vote Bali unaangalia Electoral colleges kwa majimbo yote hamsini. Mwaka 2016 Trump alishinda kwa electoral college na sio Popular vote, mwaka Jana ndipo kashinda kwa electoral college na popular vote.

Pia kasome sababu za UK kujitoa EU ndipo uje ulete mada zenu za uongo. Nyie ndio akina Mbowe mkiondolewa madarakani mnaanza kuvuruga chama mkiue maana mnaona nyie ndio wenye haki ya kutawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…