Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

Pendekeza maswali yako Leta hapa tuyachambue tuone Kama yatafaa kuwa mbadala
 
Hii ndiyo maana ya uandishi uliotimia! Ahsante sana ngosha
 
Tunafanya sensa mara moja tu kila baada ya miaka 10....na bado watu wanaona maswali mengi! Issue hapa ni maswali ya msingi, yatasaidia kutambua ukubwa wa mahitaji ya msingi, by the way...huhitaji haya certificate ya darasa la 7 kuyajibu!
Then hio itasaidia kupunguza tozo sio?
 
Unafahamu kitu inaitwa skip katika utafiti? Si kila mtu au kila kaya inaulizwa maswali yote.
 
Afadhali wewe unafikra chanya si Ileje mwenye mawazo mgando. Kukujibu, ni kuwa maswali ya muhimu ni mengi na ukitaka yote yaulizwe ni gharama kubwa sana. Usisahau kuwa swali moja ni sawa na billion moja. Mfano Uhusiano na mkuu wa kaya gharama yake ni billion moja
 
Wameanza kupitia kuchukua taarifa sensa katika taasisi za uma sasa jana wamekuja watu wa sensa tulichukuwa dk kama 20 aisee ni kweli kuna maswali mengine yanaboa yanakera yanakatisha tamaa ya mazungumzo mm jana niliulizwaa eti humu huwa mnatumia choo gani? Haya jamaani semeni hata nyinyi takwimu hadi idadi ya vyoo navyo huku kupotezeana mida tu
 
Swali la 42 ndo wamechemka kabisa,42.umeoa na una watoto wangapi na je una uhakika hawa watoto ni damu Yako?🤦nadhani sensa ya mwaka huu imelenga kuvunja ndoa za watu🙄🙌
 
Hili ni paper LA form six
 
Wao watakula wapi?

Kimsingi wamejiwekea kazi ya kufanya ili wale pesa ndefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…