Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

Kwa maswali haya sensa imefeli kabla haijafanyika!

Maswali tanayohusiana na sekta ya kilimo ni mengi. Good! Ni vyema yalete ahueni, si tozo za mashamba
 
Inakuaje tunaulizwa majina tena naomba kueleweshwa
 
Mimi nishafanya tafiti kadhaa zinazoandaliwa na NBS katika hayo maswali sio yote yataulizwa kwasababu kuna mengine enumirator anakuwa na majibu hata kabla hajaanza kukuhoji, maswali mfano jinsia na hali ya jengo ukifika tu unakuwa umeshaelewa kama nyumba ni ghorofa au ya chini hivyo unauliza maswali ya msingi kama hali ya kaya mengine kuokoa muda unajibu mwenyewe.
 
Huyu mama Dr. Chuwa ameshiriki sana sensa ila kwa hapa ameonyesha jinsi PhD yake haijamsaidia kupambanua mambo!
Weka maswali yako wewe yanayomzidi uelewa Dr. Chuwa, ili nawewe ujipambanue nasi tuyachambue na tupime uwezo wako wa kuchanganua mambo. Acheni kejeri ndugu watanzania wenzangu
 
Weka maswali yako wewe yanayomzidi uelewa Dr. Chuwa, ili nawewe ujipambanue nasi tuyachambue na tupime uwezo wako wa kuchanganua mambo. Acheni kejeri ndugu watanzania wenzangu
Ujinga umekutawala! Mwambie Chuwa anipe hiyo consultancy!
 
Kwa nchi ambayo haina utawala wa sheria, you need to be tricky kwenye kujibu otherwise inaweza kuja ku-backfire in the future.
 
Back
Top Bottom