Hilo ndilo linatatiza. Hata ukiona uwakilishi ni matakwa ya mtu bila kutumia data ya sensa. Ukweli hata mipango kwenye WDC inategemea utashi wa diwani na haifuati vipaumbele ndo maana tunaanguka. Aidha kitendo cha Dr Mpango kuua Tume ya Mipango kiliharibu planning ya nchi hii. Angalau sasa Mama anataka kuifufuaData ya sensa! Mfumo wetu pesa ya maendeleo anatoa Rais kwa utashi wake, hatumii Data ya sensa wala bajeti ya bunge.