Hilo ndilo linatatiza. Hata ukiona uwakilishi ni matakwa ya mtu bila kutumia data ya sensa. Ukweli hata mipango kwenye WDC inategemea utashi wa diwani na haifuati vipaumbele ndo maana tunaanguka. Aidha kitendo cha Dr Mpango kuua Tume ya Mipango kiliharibu planning ya nchi hii. Angalau sasa Mama anataka kuifufuaData ya sensa! Mfumo wetu pesa ya maendeleo anatoa Rais kwa utashi wake, hatumii Data ya sensa wala bajeti ya bunge.
Kwa utafiti mdogo nilioufanya hapa Nkuhungu Dodoma sensa imefeli. Serikali haitapata takwimu sahihi.Tunapozungumza kuhusu Mashirika/Taasisi/Wizara Nyingi za Serikali zinaongozwa na watu wenye uwezo mdogo sana(Kutathimini,Kuchambua,kuchanganua,kutafakari,kufikiri,kutunga sera na mikakati,kusimamia utekelezaji.nk);Maswali mengi ya Sensa ni ya kijinga/kipuuzi na kubwa yanaaingilia "Life privacy"ya mtu. Hata kuyajadili na kuyachambua ni aibu: "JUDGE A MAN BY HIS QUESTION'S RATHER THAN HIS ANSWER'S" By voltaire:
Watapika data,Wiki iliyopita nilikuwa naongea na karani wa sensa,kisha akanipatia Maswali ya sensa!Makarani watapa taabu sana.Kwa utafiti mdogo nilioufanya hapa Nkuhungu Dodoma sensa imefeli. Serikali haitapata takwimu sahihi.
Aliona haina faida kwani haifuatwi.Hilo ndilo linatatiza. Hata ukiona uwakilishi ni matakwa ya mtu bila kutumia data ya sensa. Ukweli hata mipango kwenye WDC inategemea utashi wa diwani na haifuati vipaumbele ndo maana tunaanguka. Aidha kitendo cha Dr Mpango kuua Tume ya Mipango kiliharibu planning ya nchi hii. Angalau sasa Mama anataka kuifufua
Siafikiani na wewe! Hii ilichagizwa na Usimba na Yanga kati ya Tume ya Mipango na Hazina.Aliona haina faida kwani haifuatwi.
Hili swali unaulizwa ukiwa sebuleni na familia au faragha!Swali la 42 ndo wamechemka kabisa,42.umeoa na una watoto wangapi na je una uhakika hawa watoto ni damu Yako?🤦nadhani sensa ya mwaka huu imelenga kuvunja ndoa za watu🙄🙌
🤣🤣🤣Hili swali unaulizwa ukiwa sebuleni na familia au faragha!
Jiwe alikuwa na maamuzi yake ya nini cha kufanya na nini cha kutokufanya bila kujali umuhimu wa kwanza, unakuwa na mipango kisha rais anasema sitatoa pesa huko kwa wapinzani! Hao wapinzani wametoka dunia ipi! Wananchi wanaolipa kodi nawe ukazichukua unawaita wapinzani na hautaki kuwapa pesa zao! Faida ya mipango ni kutumiwa na kama haitumiwi haina faida.Siafikiani na wewe! Hii ilichagizwa na Usimba na Yanga kati ya Tume ya Mipango na Hazina.
Kama unavyoniona karani wa sensaSwali la 3.
Je wewe ni mwanaume au MWANAMKE?😄
Atakaekutwa nyumbani atakuandikishaSasa tumeshinda toka asbh hapa nyumbani na bado sijamwona karani wa sensa. Ina maana na kesho nishinde home namsubiri? Nadhani sasa itabidi anisubiri yeye
[emoji23][emoji23][emoji23]Swali la 3.
Je wewe ni mwanaume au MWANAMKE?[emoji1]