Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 13, 2025 #1 Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili kulinda shutuma zake. Sasa mliopo kipindi haya yote ndio mtakacho fanyiwa.
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha. Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie. Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili kulinda shutuma zake. Sasa mliopo kipindi haya yote ndio mtakacho fanyiwa.
loose Nut JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 2,887 Reaction score 6,657 Dec 13, 2025 #2 Msomali, Ba-orange na mama kodi adriz de mbusii
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Dec 13, 2025 #3 Mjuba utaua watu kwa kihoro, sasa wangefanyaje bila kukaidi amri ya mkubwa? Ndio kazi zenyewe zilivyo, hakuna namna ya kukataa, die or live
Mjuba utaua watu kwa kihoro, sasa wangefanyaje bila kukaidi amri ya mkubwa? Ndio kazi zenyewe zilivyo, hakuna namna ya kukataa, die or live
Man in the Middle JF-Expert Member Joined Feb 26, 2019 Posts 696 Reaction score 1,615 Dec 13, 2025 #4 LOTH HEMA said: Mjuba utaua watu kwa kihoro, sasa wangefanyaje bila kukaidi amri ya mkubwa? Ndio kazi zenyewe zilivyo, hakuna namna ya kukataa, die or live Click to expand... Silver or Lead,
LOTH HEMA said: Mjuba utaua watu kwa kihoro, sasa wangefanyaje bila kukaidi amri ya mkubwa? Ndio kazi zenyewe zilivyo, hakuna namna ya kukataa, die or live Click to expand... Silver or Lead,
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Dec 13, 2025 #5 Acha waendelee kukaza mafuvu tutawazika hivi punde.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 13, 2025 #6 Muda huongea... Cc: Mahondaw