Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

Mwenetu isije kua ww...juzi Kuna mpangaji alikua anapiga kama anaua watu tukaamka tukajua labda wamelewa wanapigana.... kuskiliza kwa makini inaskika ".....piga baba hii yote ni yako....ongeza mm ndo mtoto wa kitanga" Kila mtu alirudi ndani kimya kimya huku wanafyonza
 
Ebu record tusikilize ili tukushauri huo mlio urudishe heshima iliyopotea.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ kwa mazingira hayo heshima inaweza kurudi kweli?
 
Tafuta pesa ujenge nyumba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…