HSE Officer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 665
- 892
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usikute majirani walikuwa wanakuona mgonjwa...Jana ndo wamejua Una afya ....unahangaika bure tu
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Usikute majirani walikuwa wanakuona mgonjwa...Jana ndo wamejua Una afya ....unahangaika bure tu
Ndio ushajiwekea heshima kwa majirani ndugu xJana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k
Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana tena.
Ikabidi nimtoe 'out' kidogo, kwa sababu ni mtu anayependa kwanja/kupari/kuosha macho viwanjani.
Baada ya kurudi nyumbani, tukaanza kufanya yetu; ile kuchochea kuni ili moto uwake vizuri, ikawa ni full kuimba pambio; ''equation x weee, equation x wee...''. Mbaya zaidi alikuwa anapiga makelele sana mpaka majirani wakawa wanasikia, na kingine kilichoniuma zaidi ni kuendelea kutaja jina langu.
Baada ya kumaliza zoezi, namuuliza kwa nini ulikuwa unapiga makelele hivyo mpaka kuniaibisha kwa majirani? Akanijibu, alikuwa hapigi kelele na hakumbuki lolote.
Leo asubuhi wakati natoka naenda kwenye ibada, naona majirani wananitazama kwa macho ya chini chini; huku mimi nikiwa sina ujasiri tena.
Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?
Tatizo katika nafsi zao, sijui wananifikiriaje?Ndio ushajiwekea heshima kwa majirani ndugu x
Hawana huo ubavu, kwani unawapigia kelele kila siku?Wanaweza wakaniitisha kwenye kikao cha mtaa kwa kuwapigia kelele
🤣🤣🤣🤣🤔Mwenyewe nimeshangaa ujue 🤣🤣🤣
Mara chache sana; ingawa si rahisi jirani kuuliza kuhusu hiyo mada, ila kwenye nafsi ukikutana nao unahisi kabisa kuna kitu wanakitafakari katika nafsi zao.Hawana huo ubavu, kwani unawapigia kelele kila siku?
Tuishi humo chief, raha jipe mwenyewe, jipakulie minyama ya kutosha.Mara chache sana; ingawa si rahisi jirani kuuliza kuhusu hiyo mada, ila kwenye nafsi ukikutana nao unahisi kabisa kuna kitu wanakitafakari katika nafsi zao.
Watakuja waangalie wote😂 😂 😂 aisee mzee mwenzangu kweli we ni upepo kabisa
kwaiyo akiwambia alikua natizama x ndio kajisafisha mbele ya majirani sio
Me sijaelewa urejeshe heshima au uipoteze? Mimi naona hapo umeshsiweka Ndio maana wanakutazama kwa aibu vyenginevyo hii itakuwa chaiJana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k
Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana tena.
Ikabidi nimtoe 'out' kidogo, kwa sababu ni mtu anayependa kwanja/kupari/kuosha macho viwanjani.
Baada ya kurudi nyumbani, tukaanza kufanya yetu; ile kuchochea kuni ili moto uwake vizuri, ikawa ni full kuimba pambio; ''equation x weee, equation x wee...''. Mbaya zaidi alikuwa anapiga makelele sana mpaka majirani wakawa wanasikia, na kingine kilichoniuma zaidi ni kuendelea kutaja jina langu.
Baada ya kumaliza zoezi, namuuliza kwa nini ulikuwa unapiga makelele hivyo mpaka kuniaibisha kwa majirani? Akanijibu, alikuwa hapigi kelele na hakumbuki lolote.
Leo asubuhi wakati natoka naenda kwenye ibada, naona majirani wananitazama kwa macho ya chini chini; huku mimi nikiwa sina ujasiri tena.
Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?
Siku hizi matangazo mnayadesign vizuri sana.Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k
Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana tena.
Ikabidi nimtoe 'out' kidogo, kwa sababu ni mtu anayependa kwanja/kupari/kuosha macho viwanjani.
Baada ya kurudi nyumbani, tukaanza kufanya yetu; ile kuchochea kuni ili moto uwake vizuri, ikawa ni full kuimba pambio; ''equation x weee, equation x wee...''. Mbaya zaidi alikuwa anapiga makelele sana mpaka majirani wakawa wanasikia, na kingine kilichoniuma zaidi ni kuendelea kutaja jina langu.
Baada ya kumaliza zoezi, namuuliza kwa nini ulikuwa unapiga makelele hivyo mpaka kuniaibisha kwa majirani? Akanijibu, alikuwa hapigi kelele na hakumbuki lolote.
Leo asubuhi wakati natoka naenda kwenye ibada, naona majirani wananitazama kwa macho ya chini chini; huku mimi nikiwa sina ujasiri tena.
Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?
😂😂😂 nitafanya hivyo mkuuMzee unakaa nyumba ukigonga hadi majirani wanasikia. Hapo tu ni kujikosesha heshima. Hiyo sio nyumba ni kibanda. Hama hmna anayekuheshimu hapo. Wanakuigizia tu.
Sio tangazo mkuu, na huu uchumi wa kati huu, wanataka hela tu, kelele ni mbwembwe tuSiku hizi matangazo mnayadesign vizuri sana.
Ana chai sijaona 😂😂😂Ndyo nmekuja sahivi eti....huyu mjomba sio anatupa chai haina viungo
Muulize huyo rafiki yako 😀Ana chai sijaona 😂😂😂
😀 😀 😀Rudia tena na mwambie aongeze sauti...
Majirani watakupongeza zaidi
Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
Heshima imepotea vipi mkuu? Kwani kushanglia hairuhusiwi?!Heshima ishapotea haiwezi kurudi...
Usiogope wanadamu, ogopa Mungu..