Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Ushauri wako ni muhimu sanaNasoma comments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wako ni muhimu sanaNasoma comments
Hapo ni kuwapiga mashine wanawake wote waliosikia milio pamoja marafiki waoJana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k
Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana tena.
Ikabidi nimtoe 'out' kidogo, kwa sababu ni mtu anayependa kwanja/kupari/kuosha macho viwanjani.
Baada ya kurudi nyumbani, tukaanza kufanya yetu; ile kuchochea kuni ili moto uwake vizuri, ikawa ni full kuimba pambio; ''equation x weee, equation x wee...''. Mbaya zaidi alikuwa anapiga makelele sana mpaka majirani wakawa wanasikia, na kingine kilichoniuma zaidi ni kuendelea kutaja jina langu.
Baada ya kumaliza zoezi, namuuliza kwa nini ulikuwa unapiga makelele hivyo mpaka kuniaibisha kwa majirani? Akanijibu, alikuwa hapigi kelele na hakumbuki lolote.
Leo asubuhi wakati natoka naenda kwenye ibada, naona majirani wananitazama kwa macho ya chini chini; huku mimi nikiwa sina ujasiri tena.
Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?
Nipo kambi kwa majukumu tu 😀 😀 😀Vurugu zote hizo bado unaishi nyumba za kupanga mkuu
Itabidi nikirudia zoezi nilirekodi 😀Ebu record tusikilize ili tukushauri huo mlio urudishe heshima iliyopotea.
Inahusu nini hiyo 😀ess.utumishi.go.tz,,,lipia tangazo lako kwenye hii webusaiti.
Aisee [emoji23]Mwenetu isije kua ww...juzi Kuna mpangaji alikua anapiga kama anaua watu tukaamka tukajua labda wamelewa wanapigana.... kuskiliza kwa makini inaskika ".....piga baba hii yote ni yako....ongeza mm ndo mtoto wa kitanga" Kila mtu alirudi ndani kimya kimya huku wanafyonza
😂 😂 😂 aisee mzee mwenzangu kweli we ni upepo kabisaWaambie ulikuwa unaangalia XVideos
Ile kuhisi tu mioyo yao inafikiria nini kuhusu tukio husika, naishiwa na amaniHeshima ni nn Kwa mtazamo wako
Mazingira niliyopo sitakiwi kufanya hivyoTafuta pesa ujenge nyumba yako.
Huwezi elewaAisee [emoji23]
Labda wajitokeze wenyewe kuitaji huduma 😀 😀Hapo ni kuwapiga mashine wanawake wote waliosikia milio pamoja marafiki wao
Usimuogope Mungu, muheshimu.Heshima ishapotea haiwezi kurudi...
Usiogope wanadamu, ogopa Mungu..
yaani saa tisa usimu majirani zako wako macho? mpaka waskie kelele zenu? bora ungewasha radioTumerudi saa tisa usiku, pia kupiga mziki usiku kwa jamii iliyostaarabika inakuwa changamoto 😀 ; ila ata kama ingekuwepo spika isingesaidia.
Mwenyewe nimeshangaa ujue 🤣🤣🤣Tangu lini umewahi kuonekana Mwenye kustahili heshima mkuu? Tuanzie hapo kwanza🤒