Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

Ndio ushajiwekea heshima kwa majirani ndugu x
 
Me sijaelewa urejeshe heshima au uipoteze? Mimi naona hapo umeshsiweka Ndio maana wanakutazama kwa aibu vyenginevyo hii itakuwa chai
 
KWA YOYOTE ATAKAEKUANGALIA KWA JICHO LA CHINI CHINI TENA KUANZIA KESHO "PIGA PUMBU HUYO" UKIFELI SANA "WATUMISHE HATA SALAMU" UTAKUJA KUNISHKURU BAADAE😊
 
Siku hizi matangazo mnayadesign vizuri sana.
 
Mzee unakaa nyumba ukigonga hadi majirani wanasikia. Hapo tu ni kujikosesha heshima. Hiyo sio nyumba ni kibanda. Hama hmna anayekuheshimu hapo. Wanakuigizia tu.
 
Mzee unakaa nyumba ukigonga hadi majirani wanasikia. Hapo tu ni kujikosesha heshima. Hiyo sio nyumba ni kibanda. Hama hmna anayekuheshimu hapo. Wanakuigizia tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitafanya hivyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…