We jamaa unanikumbusha matukio mengi sana, anyway heshima pesa. Unakuwa kama haupo au upo, za mandonga ... "Ukipigwa ni kama umeshinda, always a winner" Usiruhusu mazoea na jirani, then utafute mwingine uweke heshima zaidi. Utashangaa mpaka wake za majirani wanakugombania. Fanya hivyo utanikumbuka