Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

Angalau sasa sote tunakiri tunaye dikteta. Ukweli ni kwamba madikteta wote ulimwenguni wanahitaji ulinzi mkali na katika msingi huo naunga mkono ulinzi uzidi kuimarishwa.
 
Angalau sasa sote tunakiri tunaye dikteta. Ukweli ni kwamba madikteta wote ulimwenguni wanahitaji ulinzi mkali na katika msingi huo naunga mkono ulinzi uzidi kuimarishwa.

Hapa umeongea pwenti kubwa hata madikiteta Bush na Obama wa USA kipindi kile walipotembelea hapa Tanzania tuliuona ulinzi wao ulivyokuwa imara ilikuwepo mpaka nuke submarine.
 
Hakika tulimuhitaji Rais kama huyu wakuibadilisha Tanzania,pamoja na yote yanayoendelea Mimi nitampambani Rais wangu kwa njia yoyote hata kwa kuvuja damu
Kweli tulihitaji wa kuwaziba wengine kufikiri, kusema na kutenda hata kwa jambo la kikatiba ?!
 
Trump ni dikiteta?
Angalau sasa sote tunakiri tunaye dikteta. Ukweli ni kwamba madikteta wote ulimwenguni wanahitaji ulinzi mkali na katika msingi huo naunga mkono ulinzi uzidi kuimarishwa.
 
Hapa umeongea pwenti kubwa hata madikiteta Bush na Obama wa USA kipindi kile walipotembelea hapa Tanzania tuliuona ulinzi wao ulivyokuwa imara ilikuwepo mpaka nuke submarine.
Kumbe Obama na Bush kutembelea Tanzania ni sawa na Magufuli kutembelea Chato...kweli ujinga gunia zito la misumari!
 
Sasa kama mwaka wa 4 huandī mishahara watumishi alafu unataka wachape kazi sasa kwaninī usiwe na upinzani mkubwa
 
Hata awe na ulinzi kiasi gani jua ya kwamba sio kila mtu aliyeko kwenye vyombo vya ulinzi anamuelewa...

Wakiamua kumtoa mbona ni haraka sana watamtengenezea zengwe, sema ni vile tu hawajaamua mkumbuke tu na wenyewe wamemchoka...
 
Hujui unacho kiropoka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…