Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Taifa linanitegemea sana. Nilimuoa na tuna mipango mingi ya maendeleo tumeshatekeleza iko kwa 80%
 
Yaani nilee mbegu ya mtu mwingine ya kubambikiziwa?
Umeambiwa umebambikizwa?
Lea ni Mwanao...
Hivi ukimwekea chuki huyo mtoto asiyekuwa na makosa kabisa, unafikiri itakuwaje?

Sikiliza kuwa Social father is good enough.

Fikiri kama Baba mawazo yakubambikiziwa yatakuumiza.
Au hata ukipata hiyo chance ya kupima DNA ukagundua kuwa ni mtoto wako, itakuumiza zaidi. due to hatred inayojizalishia sasa.

"Jua kabisa kitanda hakizai haramu"...
 
Hiyo kauli ya kitanda hakizai haramu ni ya kijinga sana
 
Taifa linanitegemea sana. Nilimuoa na tuna mipango mingi ya maendeleo tumeshatekeleza iko kwa 80%
Kapime DNA Sasa, ikigundulika sio wako Kaa chini fanya maamuzi.
Tatizo la mwanamke kusaliti ni sawasawa na mchawi for the first time alishwe nyama ya binadamu, kuacha ni ngumu sana.
Kama mkeo kaanza kutoka nje ya ndoa ni ngumu sana kuacha, atakudanganya Kwa maneno.
HAKIKISHA huyo mtoto arudi Kwa baba yake, kama wewe ni Mkristo unaweza endelea naye sema wanawake wa sikuhizi anaweza kukuwekea sumu akuondoe aishi na bae yake.
Solution ni piga chini
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…