Dah unyama huuMaisha yako speed.
iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
View attachment 3524192
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
View attachment 3524193
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya service na mafuta full tank.
Fanya maamuzi sahihi.
Iphone fold inatoka mwaka huu starting at $2,500.iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
ShingpIphone fold inatoka mwakani starting at $2,500.
7-8M kirahisi tuShingp
Hapo chanika unapata kiwanja kikubwa sana7-8M kirahisi tu
oo7-8M kirahisi tu
Chanika sehemu gani mkuu?Chanika unapata heka 3
Dungu gani ya mil 6? NifafanulieHapo bora nichukue dungu hilo BMW E90 2007 pesa ikibakia naenda kuvutia shisha mixer bia
BMW E90 2007 hiyo anko aliyoweka brother Mad Max hapo pichaniDungu gani ya mil 6? Nifafanulie