Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Dah jamaa wana dharau sana πππππKuna kipindi nilienda Karagwe, Kagera nilikuta Premio ni daladala kama ilivyo probox(mchomoko) nazo pia daladala uko Tarime.
Mzee lile Boxi tuAcha masihara babuu! Kweli? Kana muonekano mzuri aise?! Haiwekewi engine nyingine?
Inategemea Na umri wako Nisije nikakuambia Subaru kumbe una mIaka 60 au 70 ukaja ukaonekana mzee mzima Hovyo...Habari nimejiandaa na pesa hiyo nitapata gari gani nzuri kwa ajili ya matumizi yangu na familia?
acha dharau we kizee
Shingap hiyo harrier anaconda hybridAjiongeze mala 3 ya hiyo bajeti anunue Harrier Anaconda hybrid ile futa inanusa tu ya 1.9L aipate[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niomgeze shingap nipate hiyo alphad...Alphad ya mwaka gani ndo nzuriMkuu ongeza hela kidogo ulete chuma Alphard, kwa familia itakufaa sana ila sasa usiipeleke mashambani!
Shingap atlete Hadi bongoChukua Athlete Black.
Miaka37Inategemea Na umri wako Nisije nikakuambia Subaru kumbe una mIaka 60 au 70 ukaja ukaonekana mzee mzima Hovyo...
Una miaka mingapi Ni hii ya vijana ya 37 mpaka 55 au
Bongo 60m nimechangamsha baraza tu hiyo imesimama Mkuu na kuagiza bila shaka ni hadi 48 unaitia mkononiShingap hiyo harrier anaconda hybrid
Anhaa Basi unaweza Ukapata Kluger V,Forester pia unapata,Crown,Subaru,Miaka37
hizi gari znapendwa zambia balaaAchana na magari ya kizaman nunua toyota probox ya 2016/18 ni nzuri na inafaa kwa matumizi binafsi na familia lakin pia itakusaidia kubeba mizigo mikubwa na midogo
Acha izo gar za 2002/2009 izo kodi yake ni kubwa lakin pia technolojia yake niyakizaman sana
Mi nina probox ya2018 apa ofsn vijana wanabebea vtu wateja lakin pia huwa wanaitumia na familia zao hii gar ni ngumu na haili mafuta kbsa
naikubali kinoma. japo uchumi wangu ni hoiChukua Athlete Black.
Ongeza kama 2m hivi ziwe 20m ulete ya 2004 na chenji itabaki! Hii unafanya kuagiza kabisa siyo kwenye showrooms za Kibongo!Niomgeze shingap nipate hiyo alphad...Alphad ya mwaka gani ndo nzuri
Dah! Sure? Hakuna engine inayoweza kukaa(ukitoa original yake na kuweka nyingine)? Shape yake balaaMzee lile Boxi tu
Achukue gari ya juu kidogo, siyo hizo gari za chini.Chukua Premio hautajuta mzee
Gari ya juu kama ipi hiyoAchukue gari ya juu kidogo, siyo hizo gari za chini.
Mitsubishi outlander, Forester,kluger ama harrier.Gari ya juu kama ipi hiyo