Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wabongo na ujinga wenu mnapenda kumkalia mtu kooninnachoshangaa mpaka DKK hii kwamba mtoa mada bado tu hajapigwa made na wadau , jinsi anavojbu kwa jeuli hapo, hiyo n million 4 asee huyu jamaa siku akishika hela, watu hawatakunywa maji
Hizo gari huwa zinashida gani mpaka bei zake ziwe chini hivyoNadhani Brevis no C tutanunua Milioni 2..[emoji119][emoji119][emoji2957]
Hahahahah hizo zitakuwa bei ya GX100 yani! 3-3.5m hapo 😂😂😂Nadhani Brevis no C tutanunua Milioni 2..[emoji119][emoji119][emoji2957]
Shida ni mahudhurio ya sheli tu boss! Hamna kingine yani...Hizo gari huwa zinashida gani mpaka bei zake ziwe chini hivyo
Shukrani sana mkuuShida ni mahudhurio ya sheli tu boss! Hamna kingine yani...
Wakati mwenzio mwenye vits ama ist akienda na elfu 50 sheli atatembea week nzima kwenda kazini na kurudi, wewe mwenye Brevis siku ya 3 tu itakulazimu ukaweke tena ya elfu 50 wakati unarudi kuelekea kwako maana taa ya kudai mafuta itakuwa ishawaka.
Hilo tu ndilo linafanya gari hizo ziuzwe bei ya mtori mkuu! Ila kwa uzuri na build quality brevis ni gari zuri sana.
Watanzania wakishachukia kitu, wanakipa sifa zote mbaya....Hizo gari huwa zinashida gani mpaka bei zake ziwe chini hivyo
Passo ni gari nyie ninemiliki gari ndogo kadhaa ila nimestack kwenye passo nliyonayo ni ya 2 nayo karibu naiuza maana mm ni mtu wa safarisafari sana so huwa nasafiri nayo ikifika 160000km nauzaTafuta Passo uenjoy mafuta
Hii ni gari nzuri sana ila safari ndefu huezi enda nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Tafuta uzungushe za kwako
Waswahili mnataabu sana
Acha kejeli kwenye uzi wa wenzako, unajuaje kama hajajipanga ndio maana anaomba ushauri anunue gari? Hata dem wako ataliwa tu hata kama unahela, unaweza ukawa una hela alafu nguvu za kiume huna [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ww hujielewi mkuu, laki 6 hadi 8 kwa mwezi af n mwanaume mkuu, hela ya unyunyu kabisa ndo unaishi nayo... Af unataka gari, doh, mkuu demu wako tutamla sana mkuu
Exactly [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama umepata makasiriko na mil 4 ya mwanaume mwenzio.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuti kitu huyoo! Nimeshafuta nyama zote na ugali labda asubiri cha jioni [emoji3]
Huu ndio ushauri sasa sio mtu anakurupuka oooh invest utafikir yeye ka invest nini, hapo usikute anategemea boom hana kitu kama mimi tu [emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kaomba ushauri wa gari wewe unamwambia awekeze! Awekeze kwenye nini? Wapi?
Juzi kuna mtu kashusha uzi hapa kajichanga kaenda mbeya kununua mchele kauleta dar hana pa kuuza, watu wanampa bei za hasara!
kama hujui gari la m4 atakalomudu kwa kipato chake kalisha masaidongi!!!
Gari zipo nyingi tu mkuu, nakushauri uwe na fundi wako akusaidie ukaguzi kabla hujafanya malipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema mkuu nafurahi unavojua kuwapa za uso watu wenye tabia za Kiswahili ...Bongo bhana mtu anaomba ushauri we badala ya kumpa anachohitaji unajitia ujuaji..
Imenibidi nicheke [emoji23][emoji23][emoji23].Acha kejeli kwenye uzi wa wenzako, unajuaje kama hajajipanga ndio maana anaomba ushauri anunue gari? Hata dem wako ataliwa tu hata kama unahela, unaweza ukawa una hela alafu nguvu za kiume huna [emoji23][emoji23][emoji23]
GTMtu kaomba ushauri wa gari wewe unamwambia awekeze! Awekeze kwenye nini? Wapi?
Juzi kuna mtu kashusha uzi hapa kajichanga kaenda mbeya kununua mchele kauleta dar hana pa kuuza, watu wanampa bei za hasara!
kama hujui gari la m4 atakalomudu kwa kipato chake kalisha masaidongi!!!
Gari zipo nyingi tu mkuu, nakushauri uwe na fundi wako akusaidie ukaguzi kabla hujafanya malipo.
Hakufanya research yake vizuri alitakiwa ajifunze hapo kwanini anapewa bei ya chini hizo ndio challenges za biashara sio kukimbilia kununua gariMtu kaomba ushauri wa gari wewe unamwambia awekeze! Awekeze kwenye nini? Wapi?
Juzi kuna mtu kashusha uzi hapa kajichanga kaenda mbeya kununua mchele kauleta dar hana pa kuuza, watu wanampa bei za hasara!
kama hujui gari la m4 atakalomudu kwa kipato chake kalisha masaidongi!!!
Gari zipo nyingi tu mkuu, nakushauri uwe na fundi wako akusaidie ukaguzi kabla hujafanya malipo.