Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

Erengo

Senior Member
Joined
Mar 7, 2022
Posts
102
Reaction score
186
Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
 
Ni kweli kuna shida ya umeme, relax.
hero-image.fill.size_800x450.v1623362691.jpg
 
Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
Mkuu Unakuwa Very Insecure ..... Relax mkuu..
Mwanamke halindwi hivyo..
 
Duh mkuu jifunze kuchukulia vitu in a simple way,utakufa mapema,mimi mke wangu akienda kwa shughuli za serikali huwa sijihangaishi kumtafuta hadi anitafute yeye,asiponitafute tutakutana akirudi,sipendi upuuzi mimi😎😎😎
shida sio safari, huwa anasafari sana na mawasiliano huwa yapo, ila kwa hii ya dodoma amekuwa tofouti kabisa. Amenisikitisha kwa hili.
 
Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
Shummita ni ufuska uliopewa kibali maalum.
 
shida sio safari, huwa anasafari sana na mawasiliano huwa yapo, ila kwa hii ya dodoma amekuwa tofouti kabisa. Amenisikitisha kwa hili.
Achana naye utaja kufa kwa kihoro,mwache atakutafuta mwenyewe,acha kuingilia faragha ya mkeo,by the way huwezi kula ugari kila siku,kuna muda unabadili menu
 
Back
Top Bottom