Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

Mkuu,huna hata kapicha ukatupatia info maana ss wengne ni maboda boda tunabeba sana hapa watu mashindanoni.
 
nakumbuka mwakajuzi nikokwenye mradi wakukusanya damu vijijini niliopoa docta mmoja matatasana aisee

nimke wamjeda naakanizalia mtoto juu.
niliinjoi sana yule dokta ndani yamiezi nane kilamkoa nikonae hapandi gari nyingine zaidi yagariyangu.

mumewe akipiga simu mchana anambebisha ikifika usiku namla kwahasila kalisana
Kama ni kweli jitahidi kuficha code mkuu
 
nakumbuka mwakajuzi nikokwenye mradi wakukusanya damu vijijini niliopoa docta mmoja matatasana aisee

nimke wamjeda naakanizalia mtoto juu.
niliinjoi sana yule dokta ndani yamiezi nane kilamkoa nikonae hapandi gari nyingine zaidi yagariyangu.

mumewe akipiga simu mchana anambebisha ikifika usiku namla kwahasila kalisana
Unajisifia kabisa kumla mke wa mwaume mwenzako🚮
 
Yaani ikichomoka wanavyopishanisha mikono kuiingiza 😆 atarudi na kisirani maana mpaka amuone my wake tena ni mwakani
 

Attachments

  • 7180f79b-6bf3-47fd-ab98-7b3027cf8393.jpg
    7180f79b-6bf3-47fd-ab98-7b3027cf8393.jpg
    24.3 KB · Views: 2
Kwa nini ulioa mke muajiriwa?; kumbuka, kazi ndio imemuoa (mme mkubwa) na anaiabudu kuliko anavyokuabudu wewe (mme mdogo).

Kwa hiyo, muache mme mkubwa amtumie anavyotaka.
 
Mwaka 2020 nilienda dodoma mwezi wa 12 nikakuta kuna mkutano kama sikosei ni wa waalimu basi nilipokua nakula walikua wanakuja hao waalimu yaani ukiwacheki tu unajua wametokea kijijini maana wanatembea kwa makundi fikiri kwenda kula mnaenda kundi zaidi ya watu 5.
siku mbili tatu nikakutana na mwanamama nikamuelewa siku ya kwanza nikamchomoa kwenye kundi la wenzake alikua na pete ya ndoa zile wanavaa mbili mbili basi tukachat tukala na nikamwambia nilihitaji uwepo wa mtu tupige stori japo nimevutiwa na ww ila sio kwa ubaya, nilichukua namba nikamcheki kwa txt mimi fulani ikaisha hivyo.
Siku kama mbili mbele sikuonana nae nikaja kumuona siku ambapo kesho yake anaondoka alinichangamkia sana anauliza ulikua wapi siku mbili hizi na mimi nikamjibu nipo tunapishana tu, akaniuliza wapi tukajifiche nina hamu ya wine balaa ila staki wenzangu wanione nimelewa akanipiga kibao cha bega huku akisema hebu tukajifiche basi dom pale nina mwanangu ana kamjengo flani na kagarden ndio ninapopoa nikila mjani taratibuuu bila bughudha nikamwambia bibie kuna sehemu nakaa japo sio kwangu ni kwa jamaa yangu pale nakua huru maana ndipo nafikia nikija dom, hakupinga tukaingia kwenye hizi store za vinywaji nikakamata robertson 2 kibwa na coke then jani la mbuzi maskani alafu tukarudi hapo home nikaandaa mazingira pale garden mixer mafuta ya mbu ili kigiza kikiingia makofi yasiwe mengi (yanakata stimu) basi tukanywa jamaa yangu akaja tukajumuika akaongeza na konyagi kwaajili yake cha ajabu yule madam akaomba achanganye na konyagi eti anapenda harufu yake wakati mimi ukininusisha harufu ya konyagi au pombe kali yoyote nasisimka mwili mzima na kujiskia vibaya, akapiga maji matamu akaanza kulegea jamaa yangu akaenda kwenye mambo yake mimi nikakaa nae mpka saa tatu hivi nikamwambia time to go. Madam anauliza to go where hapa ndio nimefika 😂😂😂😂 nikajua utani cha zaidi akazima simu na kuniambia ikifika saa 11 na nusu naomba unipeleke sehemu fulani naondoka na wenzangu inamaana hana mpango wa kuondoka, basi nikaona isiwe tabu muda huo wine ishamlevya vya kutosha nikaongeza chupa nyingine iliokua kwenye stock ya jamaa alikunywa jamaa yangu akaja na chipsi hakuweza hata kula nikamuingiza ndani kulikua na kajoto flani akaanza tapika nikampeleka chooni hapo hapo room na kuanza kumpunguza nguo nikijisemea maliza kutapika nile mzigo na kweli kamaliza kaoga akasema yupo fresh kidogo nikaanza kujipakulia minyama naye akatoa ushirikiano sasa nimekuja kugundua pete hana wakati namaliza kukitupa cha kwanza nikamshika mikono kuanzia kwenye viganja sikuskia pete kutizama mkono mtupu nikajua tu alidhamiria kuchepuka. Inahitaji mwanamke mvumilivu sana na mwenye busara kuepuka hivi vishawishi
 
Back
Top Bottom