Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
kuna mmoja ametafunwa na jamaa, mmewe nae alikuwa anamsu bua vdeo call
 
Dodoma umeme haukatiki

Wacha apate ladha mpya mchuchu
 
Back
Top Bottom