Kwa mlio Dodoma kwenye hayo mashindano ya Shummita yanayoendelea huko wake zetu wako salama kweli

Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
Ha haaa kwa kweli mji ni wamoto sana hapa kati acha siku ingine jitahidi uje nae maana wengine wako hapa Rainbow ni mibuno kama yote mpaka wanapanda juu ya viti.
 
Hakuna mahali kwenye kusanyiko la watu wazima halafu watu wasitumie fursa ya kula tunda kimkakati au kimasihara.
Nakumbuka wakati nalitumikia hili taifa ziara na safari za semina, warsha ama makongamano ni mwendo wa kulana na kuvunja viapo vya ndoa tu.
 
Nimeagwa ameenda kwenye mechi, naomba kufahamu hizo mechi zinachezwa muda wote ama kuna muda maalamu.

Naona tabia ya kuzima data imeanza tangu aje huko dodoma, hawa wake zetu kuna muda wanatia hasira sana.
 
Naambiwa anakuwa amechoka akitoka mazoezini hivyo anakosa nguvu ya kuwa online kwa ajili ya video call
 
Nimeagwa ameenda kwenye mechi, naomba kufahamu hizo mechi zinachezwa muda wote ama kuna muda maalamu.

Naona tabia ya kuzima data imeanza tangu aje huko dodoma, hawa wake zetu kuna muda wanatia hasira sana.
Mechi za uwanjani zinaanza asubuhi mpaka jioni kisha ndio mechi za ndani zinaanza mpaka asubuhi.
 
Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
Dodoma maji na umeme haukatiki na wala hakunashida kabisa ya hayo mavitu japo ni jangwani.
 
nakumbuka mwakajuzi nikokwenye mradi wakukusanya damu vijijini niliopoa docta mmoja matatasana aisee

nimke wamjeda naakanizalia mtoto juu.
niliinjoi sana yule dokta ndani yamiezi nane kilamkoa nikonae hapandi gari nyingine zaidi yagariyangu.

mumewe akipiga simu mchana anambebisha ikifika usiku namla kwahasila kalisana
Na mtoto wako analelewa na mjeda?
 
ukiwaza kusalitiwa utasalitiwa kweli. kikubwa kwenye mahusiano tunaishi kwa imani...kuchapiwa hakukwepeki unaweza ukalinda lakini akaja mdogo wako akamlia hapo hapo kwako😭😭😭😭

chamsingi mkumbushe atumie kondon ili asije akakuletea magonjwa...mkuu wewe huwa uchepuki?​
 
Kwanini umekuwa na hisia hizo mkuu?,kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wako akichepuka ni maamuz yake binafsi hayo..
 
Acha ujinga basi. Muache mke acheze, akimaliza si atakutafuta na atarudi nyumbani? Au unahisi ana pengine pa kwenda?
 
Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
Mkuu umeme lini umewahi kuwa sio tatizo nchi hii?inawezekana umeme unakatika mara kwa mara alipo mke wako nilipo umeme huwa unakatika ila si mara kwa mara
 
Toka mashindano yaanze umeme haujakatika hata mara moja inshort mm mwenyewe nipo Dom mzee mwenzangu
 
Habarini ndugu wana JF

Kwa mlioko huko dodoma hawa wake zetu wa ndoa watarudi salama kweli?

Maana shemeji yenu najitahidi kumtafuta kupitia video call naona hataki kupokea simu anadai ya kwamba umeme umekatika kuna giza hivyo hawezi kupokea simu.

Kwa mliopo huko, ni kweli changamoto ya umeme bado ipo dodoma, napata mashaka tangu aje huko dodoma, maana hata simu amekuwa mzito kupokea anasema anakuwa amechoka baada ya kushiriki mashindano ya mechi.

Kwa ufupi Wife ni muajiriwa katika shirika la umma mimi ni mfanyabiashara, na tangu aende kushiriki hayo mashindano akili haijatulia, maana naona fika anaongopa wazi kabisa.

Hivyo, kwa mlioko huko naomba mnitoe wasiwasi hayo mashindano ni salama kweli, ama ndio walivyokanyaga mkoa huo na pete za ndoa wamevua.

Nahisi kuvurugwa.
Tulia mkuu, hawezi kula bamia kila siku
 
...ujinga wa mwanamke huwa anachepuka mwili na roho na akirushwa maji ndio kabisaa, ukiwa muhenga akirudi utajua.! ila kwa kifupi hadi hapo jua anapigwa mkia.
 
Back
Top Bottom