Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

KingoRoot ni App naitumia nikitaka Ruroot Android Devices, Tena Bila ya Computer, Kwa Waliozoea iPhones, Kuroot ni Kama KuJailBreak
 
Kuna Baadhi ya Apps Huwezi Kuzitumia Kama Device Yako ya Android Haikua Rooted, Mfano Mdogo Kuna App Hutumika Sana KuFicha App Nyingine Kwenye Simu, Ikawepo Ikifanya Kazi ila Isionekane Kwenye List ya App UlizoInstall, Mfano ni Huu Kwenye Picha Niliyoambatanisha
 
Unatmia app gan kuroot sim na ni app gan unatumia kubadl front baada ya kuroot
 
Natamani kuroot simu lakin naogopa
Rooting Android Phone is the Best thing Ever.... But Rooting Android Is Very Dangerous Ever ...

Do it For Ur Own

Binafsi mm naelewa Rooting na Imenipa Faida nyingi sana ikiwemo kubadilisha User App to System App hivyo haziwezi kutoka kwa ku Uninstall na Ku Patch Poweramp Na Features Kibao tuu
 
Mkuu nimeroot sm yangu sasa ni app gan unaweza badilisha user app system
 
Basi wakuu nimetumia zenu nikachnganya na zangu zoezi nishalimaliza
Ila naomba ushauri mmoja,kingroot naweza nikai-unstal kutoka kwa system na bado simu ikabaki rooted?
Ndio unaweza ku-uninstall
 
Wadau niliroot simu yangu ikauninstal google play store,ikawa inasoma unfortunately
Nikapeleka kwa mtaalam akairudisha lakini tatizo limekuja simu sasa hivi mtandao inasoma 3G tu,haisomi H+ wala 4G,nifanyeje hapo natumia tecno C5
 
Wadau niliroot simu yangu ikauninstal google play store,ikawa inasoma unfortunately
Nikapeleka kwa mtaalam akairudisha lakini tatizo limekuja simu sasa hivi mtandao inasoma 3G tu,haisomi H+ wala 4G,nifanyeje hapo natumia tecno C5
Nenda setting, more network, cellular data, angalia preferred network.....
 
Mkuu tofautisha ku-swap na ku-expand pia na Ku-add ram utaelewa in kwa nini huwezi ongeza Ram
 
I


ILA MM IYO NAWZA NUNU BURE BILA MALIPO YOYOTE

IYO YA KUONGEZEA RAM YA SM

SEMA TUU SM YANGU HAIPO ROOTED
Unanunuaje bila malipo? Sio kweli... Apps ambazo ni premium au pro tunaweza kuzipata either kwa kutumia app inayoitwa "freedom" au in app purchase google billing ya "lucky patcher" sasa wewe unatumia paid apps ambazo zipo kwenye mfumo wa apk na pia hauzichukui google...

-blackmart
-aptoide

In mifano ya market ambazo unazipata hizo apk...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…