Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

KingoRoot ni App naitumia nikitaka Ruroot Android Devices, Tena Bila ya Computer, Kwa Waliozoea iPhones, Kuroot ni Kama KuJailBreak
 
Habari wakuu.

Nimeona nianzishe uzi huu ili tuweze kushirikishana machache kwa wale waliofanikiwa ku-root simu zao.


Kama ilivyo jadi kwa wanaJF kuelimishana na kusaidiana pale inapobidi.


Wengi wetu tumekuwa tukifanya maamuzi mengine kwa kufuata mkumbo na hatupo tiyari kukiri hilo.


Sasa naomba wale wenzetu wajuzi wa mambo ambao mli root simu zenu kwa sababu mnazozijua mtusaidie namna mnavyoweza kufurahia simu zenu tofauti na ilivyokuwa awali, maana ku-root simu bila sababu hilo ndio tatizo.


Please mtusaidie nasi tuliofuata mkumbo pasipokujua faida zake.


Naombeni wataalamu mtusaidie hapa.


-Endapo kuna Apps, Features na mambo mengine kibao basi tunaweza kufaidi baada ya ku-root simu basi tujimwage hapa.



NB : Nimepitia nyuzi nyingi sana kuhusiana na hili suala la rooting lakini hazipo clear, nyingi zinaishia kuelezea namna ya ku-root.



Regards,...
Kuna Baadhi ya Apps Huwezi Kuzitumia Kama Device Yako ya Android Haikua Rooted, Mfano Mdogo Kuna App Hutumika Sana KuFicha App Nyingine Kwenye Simu, Ikawepo Ikifanya Kazi ila Isionekane Kwenye List ya App UlizoInstall, Mfano ni Huu Kwenye Picha Niliyoambatanisha
 
Kuwa na simu ambayo haijawa rooted nakosa amani kabisa.
Simu yangu iko rooted, kwa maana hiyo naitumikisha, system apps ambazo sizitumii nimetoa zote, natengeza shortcut nipendavyo mimi, nimebadili launcher3 na kuweka arrow launcher na inafunction kama system app hata niirest simu inabaki na kuoperate normally, nachange font kila ninapohitaji , na control behavior nyingi za simu yangu kwa mfano zile app ambazo zina autostart naziziia.
Yote hayo ni possible ukiroot simu.
Unatmia app gan kuroot sim na ni app gan unatumia kubadl front baada ya kuroot
 
Natamani kuroot simu lakin naogopa
Rooting Android Phone is the Best thing Ever.... But Rooting Android Is Very Dangerous Ever ...

Do it For Ur Own

Binafsi mm naelewa Rooting na Imenipa Faida nyingi sana ikiwemo kubadilisha User App to System App hivyo haziwezi kutoka kwa ku Uninstall na Ku Patch Poweramp Na Features Kibao tuu
 
Rooting Android Phone is the Best thing Ever.... But Rooting Android Is Very Dangerous Ever ...

Do it For Ur Own

Binafsi mm naelewa Rooting na Imenipa Faida nyingi sana ikiwemo kubadilisha User App to System App hivyo haziwezi kutoka kwa ku Uninstall na Ku Patch Poweramp Na Features Kibao tuu
Mkuu nimeroot sm yangu sasa ni app gan unaweza badilisha user app system
 
Basi wakuu nimetumia zenu nikachnganya na zangu zoezi nishalimaliza
68bbd21c33323c7c0ccd454a9294736b.jpg

Ila naomba ushauri mmoja,kingroot naweza nikai-unstal kutoka kwa system na bado simu ikabaki rooted?
Ndio unaweza ku-uninstall
 
Wadau niliroot simu yangu ikauninstal google play store,ikawa inasoma unfortunately
Nikapeleka kwa mtaalam akairudisha lakini tatizo limekuja simu sasa hivi mtandao inasoma 3G tu,haisomi H+ wala 4G,nifanyeje hapo natumia tecno C5
 
Wadau niliroot simu yangu ikauninstal google play store,ikawa inasoma unfortunately
Nikapeleka kwa mtaalam akairudisha lakini tatizo limekuja simu sasa hivi mtandao inasoma 3G tu,haisomi H+ wala 4G,nifanyeje hapo natumia tecno C5
Nenda setting, more network, cellular data, angalia preferred network.....
 
Ram ni physical device lakini mwisho wa siku ni memory tu ukijua kuconfigure memory card yako inaweza kuact kama ram vile vile

Na hapo ndio huyu jamaa alichokuwa anajarib kufanya kuna app ambazo ukiroot simu unaweza kuswap kiasi cha sd yako kiwe ram

Narudia tena inawezekana ila wewe hujui
Mkuu tofautisha ku-swap na ku-expand pia na Ku-add ram utaelewa in kwa nini huwezi ongeza Ram
 
I
fd982989dab65617254454f4d3e3971a.jpg
18976f75a9acad002c2f9ef336c68038.jpg



ILA MM IYO NAWZA NUNU BURE BILA MALIPO YOYOTE

IYO YA KUONGEZEA RAM YA SM

SEMA TUU SM YANGU HAIPO ROOTED
Unanunuaje bila malipo? Sio kweli... Apps ambazo ni premium au pro tunaweza kuzipata either kwa kutumia app inayoitwa "freedom" au in app purchase google billing ya "lucky patcher" sasa wewe unatumia paid apps ambazo zipo kwenye mfumo wa apk na pia hauzichukui google...

-blackmart
-aptoide

In mifano ya market ambazo unazipata hizo apk...
 
Back
Top Bottom