Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Naomba maelezo au program ya namna ya kuroot simu
 
kwa tecno H5 itakua wapi kwenye mafungu hayo
 
Kwa wenye LG je?
 
Download app inaitwa kingroot baada ya hapo fata maelekezo ndani ya hiyo app and voilaa utakuwa rooted

Ni kawaida sm kurestart wakati wa kuroot so usichachawe
Nilitumia Kingroot na ilipofika kuanzia 60%-70% ikawa inajirestart sana. Swali langu ni kwamba je nikishairoot natakiwa niwe nairoot mara kwa mara? Pia baada ya kuiroot naweza off USB debugging na unkown source au kuziacha zikiwa activated?
Kiukweli baada ya kuona inajirestart niliamua kuiunstall kingroot app maana niliogopa. Kwa maelekezo sahihi naweza kurudia rooting, please msaada wako mkuu

Nimeroot additional features nilio ipata ni ku install adaway ambayo ina support kwenye rooted devices hii inanifanya nisipate Pop up ads niwapo naperuzi nilitumia king root Chinese version simple tu
 
Nimetoka kuua cm yangu hapa natumia tu.
Storage ya simu inazingua apps zinakataa installation
 
Nimetoka kuua cm yangu hapa natumia tu.
Storage ya simu inazingua apps zinakataa installation
Pole sana mkuu,. Wakati mwingine ni vyema kufuata maelekezo sahihi.
 
KATIKA VITU VYOTE HUWEZ ROOT ANDROID 6.0 MASHIMALLOW SIJUI BADO HAWAJA TOA
 
Niliweza kuroot ili niongeze ram nikachemka hapo kwenye kuongeza ram nikaachana nayo root
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…