Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Note 2, application ipi i anfaa kwa ajili ya kuifanyia rooting?
 
Hellow yyte anaejuwa rooting phone naomba nisaidie NA nataman saaana rooting my phone nlijaribu Mara kadhaa nikashindwa mkuu 0715673979 hii no number Yangu NA naitumia Whatsaap vle vle naomba tuwacliane niweze kukupa nko dar mm
 
kwa samsung galaxy A7 ni app gan nzuri kwa kufanya rooting??
 
Nimepata point moja hapo kwamba ukiroot cm inakuwa na uwezo was kutunza betri, naomba kujua maana ya kuroot ili nami niroot cm yangu kwan ninapowasha data cm yangu inakula chaji haraka sana
 
aliyefanikiwa kuroot tecno camon c9 tafadhari maana ina kiburi hii simu hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…