Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kwa simu bila kutumia computer inawezekana

Na km Niki aribu si naweza Ku flash

Maana apa naogopa Ku ua sm
kwa simu sio rahisi kuharibika jaribu acha uoga hata Mimi first time nilikuwa muoga but saivi kila device Nayo tumia lazma niroot
 
ram ni physical device, unaiongezaje?
Ram ni physical device lakini mwisho wa siku ni memory tu ukijua kuconfigure memory card yako inaweza kuact kama ram vile vile

Na hapo ndio huyu jamaa alichokuwa anajarib kufanya kuna app ambazo ukiroot simu unaweza kuswap kiasi cha sd yako kiwe ram

Narudia tena inawezekana ila wewe hujui
 
I


ILA MM IYO NAWZA NUNU BURE BILA MALIPO YOYOTE

IYO YA KUONGEZEA RAM YA SM

SEMA TUU SM YANGU HAIPO ROOTED
 
I


ILA MM IYO NAWZA NUNU BURE BILA MALIPO YOYOTE

IYO YA KUONGEZEA RAM YA SM

SEMA TUU SM YANGU HAIPO ROOTED
Kwahiyo unataka nikupigie makofi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


Usijisif kwa kuweza kufanya kitu kila mtu anaweza kufanya

Kwahiyo nenda kakae fikiria sana kitu kipya ambacho watu hawajui hakikisha ni kitu unique and dope
Kisha rudi tena utuambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Can you believe this fool
 
I


ILA MM IYO NAWZA NUNU BURE BILA MALIPO YOYOTE

IYO YA KUONGEZEA RAM YA SM

SEMA TUU SM YANGU HAIPO ROOTED
Mkuu unawezaje kupata hii bure, please share nasi kama hutojali
 
Kutoot na Ku root ni nini
 
Hii kitu cwezi fanya ninavyoona naweza kuua cm yangu
 
Hii naipataje mkuu
we nenda Google search application unayotaka then una maliza na apk mfano instagram apk
.
.
.
au unaweza kutafuta app ya blackmart humo kuna apps za kulipia for free
 
Kazi zangu nyingi nafanya kwa ES EXPLORER PRO. Hii apps ndo inaniwezesha kuunstall hata system apps, kufanya user apps kuwa system apps, kufanya backup ya apps mbali mbali n. k
mkuu una uninstall system app au updates za system apps
 
I


ILA MM IYO NAWZA NUNU BURE BILA MALIPO YOYOTE

IYO YA KUONGEZEA RAM YA SM

SEMA TUU SM YANGU HAIPO ROOTED
Nikurekebishe Mkuu huwezi kununua bila hela SAWA.... unachokifanya ku kudownload apk yake ambayo waungwana ambao si wabinafsi wamenunua au wamepatch na kuamua kushare...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…