Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

kutumia roooted phone ni raha kwangu.

nina na samsung duos trend lite
ina ram 512
nimeiroot
na kuweka ram expander (app)
nika swap memory na kutengeneza secondary ram u
by using memory card .
nimeweka app kubwa kama games za football, na apps kubwa kama messenger facebook offical ambazo kwa ram 512 itakusumbua na simu kuwa mzito
 
Mi nimefanikiwa kuiroot ila tatizo kila mara inaleta notification mpaka inakera naomba msaada wenu kwa anaefahamu jinsi yakufanya ili zisitokee
 
Mi nimefanikiwa kuiroot ila tatizo kila mara inaleta notification mpaka inakera naomba msaada wenu kwa anaefahamu jinsi yakufanya ili zisitokee
nenda kwenye app setting kisha kuna sehemu ya show notification toa kile kitik(√) hapo itakuwa fresh hata Mimi iliwahi kunisumbua
ila kama unazungumzia matangazo tafuta app ya adaway au adblock plus unaweza kuigoogle
 
Wakuu simu yangu ilikua coloured lakini now ni black namaanisha maandishi pamoja na sceen ilikua coloured lakini kwa sasa maandishi ikiwa ni pamoja na gallery vyote vinaonyesha nyeusi hili tatizo halihusiani na kuroot simu wakuu naombeni mnifahamishe
 


Kama 6.0 huijui ione hiyo 7.1.1 inaitwa Nougat

Ninaisubiri 7.1.2
Mkuu umewezaje kuongeza android version hapo... nina simu kama hiyo na nimisha iroot ila kuongeza version inanisumbua sana
 
Wakuu nisaidieni ktk hili,simu yangu Huawei nilii-root kipindi yapata miezi kumi sasa ila kuna app nimezi-download ktk link zilizowekwa humu simu imekataa kuzi-support nimecheck kama simu ipo rooted inaniletea message hii ila mwanzo ilikubali ila nilipomaliza kui-root app niliyotumia niliitoa ktk system labda kosa langu lipo hapo au vipi sijaelewa naomba mnieleweshe pia kipi cha kufanya naomba mniambie.
 
Halafu wakuu naombeni msaada wenu. .Nina simu yangu apa ni vodafone 875, ilikufaga system nikaweka ingine ila mpaka sasa nashindwa kuitumia. Nikaweka laini inaniletea kitu kama hichi
kwa hiyo wakuu apo sijui cha kufanya, kwa yeyote anayejua naomba anisaidie. Asanteni.
 
Nan ka root marshmallow kwa Samsung maana nna galaxy s5 min nataka ni root.....
 
Khaaaaaa....jamaa wewe
 
kupoteza warranty ki vp
 
inatakiwa nikutafte mkuu una maujuz meng sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…