Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

System apps zinatoka bila matata, ila kuwa makini kuna zingine ukiunstall itakusumbua na kumbuka kufanya backup incase ukitojea usumbufu wowote unarudisha ktk hari ya awali.
 
Una chagua mwenyewe kwenye setting kama simu yako ipo rooted au hapana. Inafanya kwa rooted and non rooted
Screenshot_2017-02-09-19-48-17.png
 
Kingroot nahisi ndo njia rahisi kuroot simu maana hata layman anaweza tumia
 
Kwahiyo unataka nikupigie makofi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


Usijisif kwa kuweza kufanya kitu kila mtu anaweza kufanya

Kwahiyo nenda kakae fikiria sana kitu kipya ambacho watu hawajui hakikisha ni kitu unique and dope
Kisha rudi tena utuambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Can you believe this fool
Kwa iyo
 
Me natumia android 6.0 marshmallow je naweza kuiroot ili niende 7.0 nougat?
 
Mi nimeroot sony xperia m2 nataka niitoe kingroot niweke super su inakataa kutoka maana imekua km system app. Msaada
 
Sasa kuroot ni nn? Inasaidia nn kwny simu? Na why is it so risk
 
Back
Top Bottom