maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Sijui kama ni mawazo na macho yangu,naona hii serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa,hakuna cha Rais,Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri,Wabunge,Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha,Rais wa mchongo hasikiki wala hajulikani yuko wapi,leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta ni hatari sana
Bangi na kujifariji.Pumbavu kwelekweli.Unataka serikali ije ikae nyumbani kwako.Sijui kama ni mawazo na macho yangu,naona hii serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa,hakuna cha Rais,Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri,Wabunge,Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha,Rais wa mchongo hasikiki wala hajulikani yuko wapi,leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta ni hatari sana
BashiteBangi na kujifariji.Pumbavu kwelekweli.Unataka serikali ije ikae nyumbani kwako.
Kumbe bado upo kijana wa Samuya! Tulidhani wahuni chinjachinja wamekufyeka Oct29.
Acha ife tujue moja.Sijui kama ni mawazo na macho yangu,naona hii serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa,hakuna cha Rais,Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri,Wabunge,Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha,Rais wa mchongo hasikiki wala hajulikani yuko wapi,leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta ni hatari sana
Kazi maalumu hawezi kufyekwaKumbe bado upo kijana wa Samuya! Tulidhani wahuni chinjachinja wamekufyeka Oct29.
Inawezekana hii bangi inaongea ukweli,maana bangi hukufanya uwe mwerevu na pombe uwe mjingaBangi na kujifariji.Pumbavu kwelekweli.Unataka serikali ije ikae nyumbani kwako.
Kweli ni mwana kulitaka,alijua atakuwa kama Magufuri? anatia huruma mama hata chawa wamepoteana maana muhusika kakaukiwa damuKiongozi wao mwenyewe anajificha sembuse wao
Sema miradi ya Abdul na Rostamani Aziz
Sawa kwani Kuna ubaya?Sema miradi ya Abdul na Rostamani Aziz
Kuna kumuona mtu kwa werevu wake au ujinga wake sasa utaamua mwenyewe,sawa na kusema hakuna mtu aliyewahi kuwa Waziri mkuu bora kama Sokoine au Waziri wa Mambo bora kama MremaWaziri mkuu humuoni?