Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Kwa vile wakati wanasafiri sana mkawaita mavasco Dagama wanaofuja pesa ya umma kwa safari za ndani na nje.
Leo wameamua kuwasikiliza kutofuja pesa za umma, napo mnapiga mayowe. Eheeee, baadhi ya watanzania aka CHADEMA sijui ni watu wa aina gani
 
Hali ilikuwa tete kote nchini, mfano mkoa wa pwani ambako hakukuwa na maandamano na always huwa ni ngome pendwa ya ccm wananchi wachache sana nako walijitokeza...yuko jamaa alisimamia uchaguzi tena pwani vijijini alinipa ushuhuda, akanieleza hata pwani mjini kwa mujibu wa wasimamizi marafiki zake hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko kule vijijini!!.
Kwa kifupi Samuya amekataliwa waziwazi na watz walio wengi, hii itabaki katika records!!.
 
Wananchi walipiga kura na wakitoka Kwa Wingi sana isipokuwa baadhi ya Miji ya wahuni waliojaribu kuvuruga uchaguzi

Cha msingi na muhimu walijitokeza kupiga kura hasa Wana CCM
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Hii ndiyo ile maana ya mdharau mwiba mguuni huota tende.Waliwadharau watanzania kwa kuona dola ni kila kitu,sasa ni muda wa matokeo halisi.
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Kama sio Msonga gang Samia angeshatema bungo. Kwa sasa hataki kuongoza ila anawaogopa mkwere na genge lake.
Makamu wake hii nafasi ni kubwa kwake. Huoni ile mimacho yake anavyoitoa kama kafumaniwa!!!
 
Rais yupo Zanzibar anapanda miti ya mapera.Huyu bibi hazimtoshi kabisa

Sema kuna mdau nimeona anauliza sehemu.Anauliza hivi:"Kwahiyo sahivi Mbudya wanakaa marais wawili?"
 
Tunamuomba aje kupanda miti huku Tarime, tunamuomba sana!! Tumemmiss mnoo.
Anaogopa risasi za kichwa kama alizotoa order watoto waliokua na maji ya kunywa ,bendera za Tanzania na simu walipigwa kutokea ghorofani.

Sasa kila akionyeshwa raw footage nae anapata delirium na kujihisi mwisho wake unaweza kuwa hivyo pia.
 
Bangi na kujifariji.Pumbavu kwelekweli.Unataka serikali ije ikae nyumbani kwako.
Pumbavu . Kuua watu siyo jambo dogo kama unavyofikiria wewe na wajinga wenzio
Tarehe 30 kulikuwa na maandamano? Wapi? Mbona mlikuwa watu wakiwa madukani na wengine chooni?
Maandamano yanafanyika choon
Wananchi walipiga kura na wakitoka Kwa Wingi sana isipokuwa baadhi ya Miji ya wahuni waliojaribu kuvuruga uchaguzi
Miji Gani itaje hapa tukuwekee na ushahidi wa jinsi walimu walivyofungiwa ndani Ili wampigie kura muaji Samia. Ushahidi upo mkoa kwa mkoa
 
Kuna vitu vinashangaza ulitaka atike na poromondo kutangaza kariakoo.... Acha watu wafanye kazi...

  • Bado uchumi uko stable
  • Hakuna mfumuko wa bei
  • Miradi inaendelea
  • wakukima tupo shambani

Kilichofanyika ni kuwaacha muendelee na siasa hadi kwenye misiba
 
Back
Top Bottom