Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

Sawa. Ila msisahau hizo ni kelele za chura tu. Tahamaki 2030 hii hapa na Samia anastaafu
 
Rais ni Taasisi kubwa

Kanisa lilidhani linafanya ***** ***** dhidi ya samia na kusahau samia siyo mtu samia ni Taasisi kubwa

Matokeo yake wameshindwa
Mkuu unaishi kwa kuteseka sana kwa kuiwazia mabaya TEC, mbaya zaidi lile ni dude kuubwa halitetereshwi na utawala huu haramu si umeona samuya sasa hv anajificha ndani tu kama mwali?!.
 
Imagine serikali imefungia jf na wewe ni mtumwa mwaminifu wa serikali ila yamekushinda umeona ukaidi sheria za nchi!!
Adhabu iliisha na nilitii mamlaka.

Mimi sio mtumwa wa govt ila mwananchi mzalendo
 
Yaani pamoja na jitihada zako zote na wengine kunadi miradi 'kedekede' ya samuya bado wananchi walio wengi wakagoma kbs kutoka kwenda kumpigia kura oct 29...mkuu kazi yako ni ngumu sana!.
Wananchi walipiga kura na wakitoka Kwa Wingi sana isipokuwa baadhi ya Miji ya wahuni waliojaribu kuvuruga uchaguzi
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
NILIWAAMBIENI HAPA JF NI BORA KIONGOZI MWANAUME MPUMBAVU KULIKO KIONGOZI MWANAUME MWENYE AKILI ...KWA SABABU UPUMBAVU WA MWANAUME UNA AKILI ZAIDI YA AKILI ZA MWANAMKE KWENYE MAMBO YA UONGOZI.
 
labda wataaanza kujitokeza baada ya mwezi wa 3, kwani Magu alitwaliwa kipindi hiki kuanzia oktoba -march, hivyo inawezekana ndiyo kipindi hatari klk vyote mpaka kipite ...
 
achaga kulisakama kanisa we kobazi mpevu
huyo jamaa ni gaidi jinga kwelkwel, watu tunaipinga hii serikali haramu regardless ya dini...mbona Makamu wa Rais ni MTEC kama ni udini si tungevunga maana tunaye mtu tena top rank?!.
Na hata Waziri Mkuu naye pia ni mkristo.
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Nendeni mkaandamane tena ndiyo mtajuwa wapo au hawapo. Pumbavu sana nyinyi, unamuulizia Rais utadhani ni dafa yako
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Watoke vipi Sasa!?
 
Labda walitokea nyumbani kwako,
mpaka mmeamua kuwazuia Waandishi wa habari waziwepo mmeona mnaaibika
Acha uongo,Mimi ni miongoni mwa waliopiga kura na nilikuta watu kwenye Kituo asubuhi kabisa.

Waandishi wa habari na mambo ya tume wapi na wapi? Ile ni privacy Ili mtu afunhuke vizuri.

Nyie Chadomo mbona mna shobo sana tulieni endeleeni kususa.🤣🤣
 
Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe
Wewe mtoa post ni rais yupi ulianza kumtafuta hadi ukampata kiasi kwamba huyu sasa humpati?
Unataka serikali ije kukaa sebuleni kwako
 
Back
Top Bottom