Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

Kuna vitu vinashangaza ulitaka atike na poromondo kutangaza kariakoo.... Acha watu wafanye kazi...

  • Bado uchumi uko stable
  • Hakuna mfumuko wa bei
  • Miradi inaendelea
  • wakukima tupo shambani

Kilichofanyika ni kuwaacha muendelee na siasa hadi kwenye misiba
Wakulima mpo shambani gani jamaa yangu na hili jua

Mchele ushapanda bei huku kaka.Alafu mimi sio wa kuuziwa embassy elfu saba kutoka elfu sita. Mwambie bibi yenu hana akili.Wafanyabiashara wanajipangia bei sahivi yeye kajificha huko Mbudya anatokea tu siku moja kama kasongo na kurudi shimoni.
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Mkuu wewe si mzururaji mzuri katika mitandao mbalimbali ya kijamii nini!. Huko nako kuna doria pia hufanywa na makachero wa mitandaoni pia.

Kuna onyo lilitolewa na Col. Augustino Polepole kuwa wajiongezee ulinzi wa kutosha kabla hajafanya vitu vyake. Wazurure hovyo waanzie wapi!?
 
Itakuwa Ni mambo ya Samasi ya ICC Kwa Timu leader wao,sasa wafuasi lazima wapoteze dira kama Team Leader kapigwa Kwenzi
 
Wakulima mpo shambani gani jamaa yangu na hili jua

Mchele ushapanda bei huku kaka.Alafu mimi sio wa kuuziwa embassy elfu saba kutoka elfu sita. Mwambie bibi yenu hana akili.Wafanyabiashara wanajipangia bei sahivi yeye kajificha huko Mbudya anatokea tu siku moja kama kasongo na kurudi shimoni.
Kaka jua lipo kwenu tu wenzenu tuko shamba na mvua Inagonga

Mchele ni kawaida ila msimu wa mavuno ni mwezi ujao so tulia.

Sigara sijui mana sivuti (ila je hapakua na ongezeko la kodi kwenye sigara?)
 
Hali ilikuwa tete kote nchini, mfano mkoa wa pwani ambako hakukuwa na maandamano na always huwa ni ngome pendwa ya ccm wananchi wachache sana nako walijitokeza...yuko jamaa alisimamia uchaguzi tena pwani vijijini alinipa ushuhuda, akanieleza hata pwani mjini kwa mujibu wa wasimamizi marafiki zake hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko kule vijijini!!.
Kwa kifupi Samuya amekataliwa waziwazi na watz walio wengi, hii itabaki katika records!!.
Eti wapiga kura millioni 31....
Geita zilichomwa masanduku ya kutosha....
 
Hela ya kutoa huduma za afya bure kwa masikini wamenunuliwa range

Halafu mkwe anajimwambafai kujali masikini.!? Empty set
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Wanaogopa kuombwa hela.. 😂 Wamefulia.. 🙏
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Rais mkora, akijitokeza tu anakula manati
 
Unafikiri mwaga damu za watu anaweza kuwa na Amani ya moyo?Kupora tuu uchaguzi wanalala usingizi wa mang'amu ng'amu iwe kuchonja binaadamu bila huruma hata kuku hachinjwi kikatili hivyo!
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
wauwaji wanaogopa kupigwa risasi make saiz wajuba tuna tembea na vyuma vinabeba mpaka risa 45
 
Kamati ya akili kubwa waliwaingiza kwenye mtego wa mauaji Kwa tamaa zao na uchu was madaraka wakazama !

Sasa wanahaha kujinasua kwenye miiba ya mnyau mnyau unaujua!!?ukijinasua unatoka na nyama!!

Ngoja tuone!
 
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi

Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha

Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.

Ni hatari sana
Ndio viongozi wanavyotakiwa .
Sio kila kitu wawo
hata ufunguzi wa Meli ya Bakressa wawo.
hii sio sahihi.
wawo waonekanwa katika sehemu nyeti.

EWenzetu wanaokaa ughaibuni sijui kama wanawaona viongozi wawo wakuu kila mara.
Kama umeona basi ninadra sana
 
Back
Top Bottom