Msemahaki kapata Rungu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2025
- 267
- 149
Kwa vile wakati wanasafiri sana mkawaita mavasco Dagama wanaofuja pesa ya umma kwa safari za ndani na nje.Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha
Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.
Ni hatari sana
Wananchi walipiga kura na wakitoka Kwa Wingi sana isipokuwa baadhi ya Miji ya wahuni waliojaribu kuvuruga uchaguzi
Hali ilikuwa tete kote nchini, mfano mkoa wa pwani ambako hakukuwa na maandamano na always huwa ni ngome pendwa ya ccm wananchi wachache sana nako walijitokeza...yuko jamaa alisimamia uchaguzi tena pwani vijijini alinipa ushuhuda, akanieleza hata pwani mjini kwa mujibu wa wasimamizi marafiki zake hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko kule vijijini!!.Wananchi walipiga kura na wakitoka Kwa Wingi sana isipokuwa baadhi ya Miji ya wahuni waliojaribu kuvuruga uchaguzi
Cha msingi na muhimu walijitokeza kupiga kura hasa Wana CCMHali ilikuwa tete kote nchini, mfano mkoa wa pwani ambako hakukuwa na maandamano na always huwa ni ngome pendwa ya ccm wananchi wachache sana nako walijitokeza...yuko jamaa alisimamia uchaguzi tena pwani vijijini alinipa ushuhuda, akanieleza hata pwani mjini kwa mujibu wa wasimamizi marafiki zake hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko kule vijijini!!.
Kwa kifupi Samuya amekataliwa waziwazi na watz walio wengi, hii itabaki katika records!!.
Kumbe uchawa ni kazi maalumu!Kazi maalumu hawezi kufyekwa
Hii ndiyo ile maana ya mdharau mwiba mguuni huota tende.Waliwadharau watanzania kwa kuona dola ni kila kitu,sasa ni muda wa matokeo halisi.Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha
Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.
Ni hatari sana
Hakutumia codesKumbe uchawa ni kazi maalumu!
Mwenzako Sheikh Sharif Majini kazi maalumu(chawa) alifyekwa.
Chawa habari ya siku?
Kama sio Msonga gang Samia angeshatema bungo. Kwa sasa hataki kuongoza ila anawaogopa mkwere na genge lake.Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi
Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha
Rais hasikiki wala hajulikani yuko wapi. Leo hii ukiwa na shida naye inabidi uanze kumtafuta.
Ni hatari sana
Hiko kisiwa ndio ameamua kufanyiwa kazi huko?Mbona yuko live akipanda mti zanzibar? Na anakata keki ya birthday yake. Wapo hawajifichi
ni tanzania na ina ikulu ya tunguu, haina shida hata akifanyia kazi huko zanzibar still ni tanzaniaHiko kisiwa ndio ameamua kufanyiwa kazi huko?
Umenikumbusha enzi za mch. P. Msigwa. 🤣Kuna ombwe la kiuongozi
Madini yana faida gani kama hizo pesa zinaishia mifukoni mwa mafisadi wachache?
Tunamuomba aje kupanda miti huku Tarime, tunamuomba sana!! Tumemmiss mnoo.Mbona yuko live akipanda mti zanzibar? Na anakata keki ya birthday yake. Wapo hawajifichi
Anaogopa risasi za kichwa kama alizotoa order watoto waliokua na maji ya kunywa ,bendera za Tanzania na simu walipigwa kutokea ghorofani.Tunamuomba aje kupanda miti huku Tarime, tunamuomba sana!! Tumemmiss mnoo.
Pumbavu . Kuua watu siyo jambo dogo kama unavyofikiria wewe na wajinga wenzioBangi na kujifariji.Pumbavu kwelekweli.Unataka serikali ije ikae nyumbani kwako.
Miji Gani itaje hapa tukuwekee na ushahidi wa jinsi walimu walivyofungiwa ndani Ili wampigie kura muaji Samia. Ushahidi upo mkoa kwa mkoaWananchi walipiga kura na wakitoka Kwa Wingi sana isipokuwa baadhi ya Miji ya wahuni waliojaribu kuvuruga uchaguzi
Mfumuko wa bei hanma? Unakula kwa shemejiako?Kuna vitu vinashangaza ulitaka atike na poromondo kutangaza kariakoo.... Acha watu wafanye kazi...
- Bado uchumi uko stable
- Hakuna mfumuko wa bei
- Miradi inaendelea
- wakukima tupo shambani
Kilichofanyika ni kuwaacha muendelee na siasa hadi kwenye misiba