Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

Wakulima mpo shambani gani jamaa yangu na hili jua

Mchele ushapanda bei huku kaka.Alafu mimi sio wa kuuziwa embassy elfu saba kutoka elfu sita. Mwambie bibi yenu hana akili.Wafanyabiashara wanajipangia bei sahivi yeye kajificha huko Mbudya anatokea tu siku moja kama kasongo na kurudi shimoni.
 
Mkuu wewe si mzururaji mzuri katika mitandao mbalimbali ya kijamii nini!. Huko nako kuna doria pia hufanywa na makachero wa mitandaoni pia.

Kuna onyo lilitolewa na Col. Augustino Polepole kuwa wajiongezee ulinzi wa kutosha kabla hajafanya vitu vyake. Wazurure hovyo waanzie wapi!?
 
Itakuwa Ni mambo ya Samasi ya ICC Kwa Timu leader wao,sasa wafuasi lazima wapoteze dira kama Team Leader kapigwa Kwenzi
 
Kaka jua lipo kwenu tu wenzenu tuko shamba na mvua Inagonga

Mchele ni kawaida ila msimu wa mavuno ni mwezi ujao so tulia.

Sigara sijui mana sivuti (ila je hapakua na ongezeko la kodi kwenye sigara?)
 
Eti wapiga kura millioni 31....
Geita zilichomwa masanduku ya kutosha....
 
Hela ya kutoa huduma za afya bure kwa masikini wamenunuliwa range

Halafu mkwe anajimwambafai kujali masikini.!? Empty set
 
Wanaogopa kuombwa hela.. 😂 Wamefulia.. 🙏
 
Rais mkora, akijitokeza tu anakula manati
 


Your browser is not able to display this video.
 
Unafikiri mwaga damu za watu anaweza kuwa na Amani ya moyo?Kupora tuu uchaguzi wanalala usingizi wa mang'amu ng'amu iwe kuchonja binaadamu bila huruma hata kuku hachinjwi kikatili hivyo!
 
wauwaji wanaogopa kupigwa risasi make saiz wajuba tuna tembea na vyuma vinabeba mpaka risa 45
 
Kamati ya akili kubwa waliwaingiza kwenye mtego wa mauaji Kwa tamaa zao na uchu was madaraka wakazama !

Sasa wanahaha kujinasua kwenye miiba ya mnyau mnyau unaujua!!?ukijinasua unatoka na nyama!!

Ngoja tuone!
 
Ndio viongozi wanavyotakiwa .
Sio kila kitu wawo
hata ufunguzi wa Meli ya Bakressa wawo.
hii sio sahihi.
wawo waonekanwa katika sehemu nyeti.

EWenzetu wanaokaa ughaibuni sijui kama wanawaona viongozi wawo wakuu kila mara.
Kama umeona basi ninadra sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…