Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

Jan-uary

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
1,050
Reaction score
1,144
Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.
Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu.

Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao, nikafikiria kuongeza mke wa pili ila hili liko nje wa uwezo wangu.

Mwisho nikaona nichochore nizae hata wawili watatu huko nje lakini kabla sijafanya mamuuzi nimekuja kwenu mnifahamishe mambo kadhaa kuhusu hilo suala, Karibuni.
 
Watoto Wana umri gani!!?mbona umekata Tamara mapema!?

Kuzaa nje huwa hatupangi inatokea TU for purpose kwamba Mungu alishaplan sura za Waja wake na lazima at one point kwenye maisha zitokee!!usipange itatokea TU kama huyo ulienae na visa ,kisrani,umwamba,kushindana,dharau,mind games,Hila,Sanaa,vituko Hadi unashangaa,yakitokea hayo lazima utatafuta faraja nje na huko ndio effect huonekana mapema sana!!

Usimkatie Tamara mtu alieumbwa na Mungu coz wakati wowote mtu anaweza kuwa chochote usichotarajia!!

Watolee sadaka ukinuia kuwaombea vile unataka!!Tunaishi katika ulimwengu ambao sio wote wenye hekima na akili hushiba chakula Bali bahati humpata yeyote mkuu!!

Mungu haishiwi maajabu yake mkuu!!

Usipange hayo yatakuja yenyewe!!
 
Pole,

Acha mawazo mabaya juu ya mkeo ..
Anza kuwaza mema juu ya familia yako...

Muombe Mungu tu watoto wako atawapa akili, atawafanya watoto wako kuwa kichwa wala sio mkia...

Anza kwa kuomba Toba na Rehema kwa ajili yako na ukoo wako na mkeo, Zaburi 51 itakuongoza...

Komboa uzao wako kwa kuwatolea sadaka watoto wako na uzinenee sadaka hizo kile unataka...

NB: Uovu utokao kwa ukoo baba na mama mara nyingi ndio tatizo. Wengine waliweka mipaka kuwa watoto wao hawatasoma.

Biblia inasema nitawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha nne. Kutoka 20:5
 
Amiiiiin
 
Watoto Wana umri gani!!?mbona umekata Tamara mapema!?

Kuzaa nje huwa hatupangi inatokea TU for purpose kwamba Mungu alishaplan sura za Waja wake na lazima at one point kwenye maisha zitokee!!usipange itatokea TU kama huyo ulienae na visa ,kisrani,umwamba,kushindana,dharau,mind games,Hila,Sanaa,vituko Hadi unashangaa,yakitokea hayo lazima utatafuta faraja nje na huko ndio effect huonekana mapema sana!!

Usimkatie Tamara mtu alieumbwa na Mungu coz wakati wowote mtu anaweza kuwa chochote usichotarajia!!

Watolee sadaka ukinuia kuwaombea vile unataka!!Tunaishi katika ulimwengu ambao sio wote wenye hekima na akili hushiba chakula Bali bahati humpata yeyote mkuu!!

Mungu haishiwi maajabu yake mkuu!!

Usipange hayo yatakuja yenyewe!!
Huwezi ukazaa nje halafu ukasema ilitokea tu haiwezekani,nje tunavaa njumu daima ukiamua kuvua maana yake umedhamiria kutia mimba
 
Ulitegemee nn kutoka kwa hao watoto? Ujinga tu acha kuzaa ,.
 
suala sio kuzaa nje suala unazaa na nani mkuu usije zaa na kichaa zaidi ya mama watoto awe anakutishia kuwaleta watoto kwa mke mkubwa aka kusanua dili kisa hujamtimizia haja zake hasa za kifedha utajuta mkuu.
 
Back
Top Bottom