Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Cha kwanza hakikisha wanapozaliwa unawachukulia vyeti vya kuzaliwa kwa jina halisi la baba yao, yaani la kwako.Nipe elimu Mkuu,sijui ni haki zipi
Jambo la pili ni wasia au usia: andika usia kwa kutumia wanasheria kulinda future ya watoto hao.
Jambo la tatu ni kuwawezesha kimatunzo, yaani makuzi na elimu yao, usije kuwabagua.
Kama ulivyosema mwanzo, kumix koo kuna faida na hasara zake.
Hasara zawezakuwa ni kule uzao huo kwenda kinyume na matarajio yako,ikitokea hivyo utapata maumivu badala ya faraja.
Lakini mara nyingi sana watoto wa nje ya ndoa, ingawa sishauri ujihusishe na uvunjifu wa maadili, lakini hubarikiwa uwezo mkubwa sana wa kiakili na wa vipaji, ninazungumza kwa uzoefu mkubwa, huwa sielewi sababu kwa nini inatokea hivyo.