Kwa mliozaa nje ya ndoa,nipeni faida & changamoto zake, kabla sijafanya maamuzi

Watoto wana changamoto gani? Kama unahiataji mtoto wa nje zaa tu mkuu..lakin kuzaa kwa sabab uliyoieleza ni sawa na kuwa reject watoto isitoshe malezi pia yana mchango katika hilo unaloona tatizo. Sasa mwenye watoto wenye changamoto ya kimaumbile/disabled/mtindio watafanyaje????
 
Mke unae watoto unao unahangaika Nini????

Ndoa ni uvumilivu kaa nae chini mwambie aache ukichwamaji

Cc Smart911
 
Watoto wana changamoto gani? Kama unahiataji mtoto wa nje zaa tu mkuu..lakin kuzaa kwa sabab uliyoieleza ni sawa na kuwa reject watoto isitoshe malezi pia yana mchango katika hilo unaloona tatizo. Sasa mwenye watoto wenye changamoto ya kimaumbile/disabled/mtindio watafanyaje????
Sio ku wareject ila nataka kuongeza idadi niwe na watoto wenye akili mchanganyiko, Babu zetu walikuwa wanaoa mpaka wake 10 halafu unakuta kila mwanamke huyu watoto wake wote ni walevi, mwingine watoto wake wote wamesoma, mwingine kazaa wezi nk
 
Cha kwanza hakikisha wanapozaliwa unawachukulia vyeti vya kuzaliwa kwa jina halisi la baba yao, yaani la kwako.

Jambo la pili ni wasia au usia: andika usia kwa kutumia wanasheria kulinda future ya watoto hao.

Jambo la tatu ni kuwawezesha kimatunzo, yaani makuzi na elimu yao, usije kuwabagua.

Kama ulivyosema mwanzo, kumix koo kuna faida na hasara zake.

Hasara zawezakuwa ni kule uzao huo kwenda kinyume na matarajio yako,ikitokea hivyo utapata maumivu badala ya faraja.

Lakini mara nyingi sana watoto wa nje ya ndoa, ingawa sishauri ujihusishe na uvunjifu wa maadili, lakini hubarikiwa uwezo mkubwa sana wa kiakili na wa vipaji, ninazungumza kwa uzoefu mkubwa, huwa sielewi sababu kwa nini inatokea hivyo.
Asante sana Mkuu,nimekupata vyeti vya kuzaliwa wanavyo ,Bado usia tu kwasababu nahisi kuandika usia ni kama uchuro hivi
 
Mndewa kwa kweli nimecheka ila nakuelewa mnooo ulichoandika ,mimi mwenyewe umri umesogea kidogo lakini yalinikuta huko nyuma na nikawaza kama wewe,..

Kwa kifupi usiwaze sanaaaa hawa wanawake wooote wa sasa unaowaona akili zao ndio hizo hizo niamini mimi,

Unaweza kuzalisha nje akawa sio kichwa maji ,bali tikiti maji,

Nimekumbana na hivi visa sana na wanawake wengi kuwa na uelewa mdogo mnoooo sijui shida iko wapi
Pole sana Mkuu,inauma sana
 
Kwann usifikirie kuwekeza katika malezi na kuboresha mazingira.

Maana mtoto kuwa kilaza kunaweza kuchagizwa na genetics factors na pia Mazingira ya nje na malezi generally
Na kama mtoto amekuwa kilaza kwasababu ya genetics unafanyaje Mkuu utaboresha mazingira?
 
Cha kwanza hakikisha wanapozaliwa unawachukulia vyeti vya kuzaliwa kwa jina halisi la baba yao, yaani la kwako.

Jambo la pili ni wasia au usia: andika usia kwa kutumia wanasheria kulinda future ya watoto hao.

Jambo la tatu ni kuwawezesha kimatunzo, yaani makuzi na elimu yao, usije kuwabagua.

Kama ulivyosema mwanzo, kumix koo kuna faida na hasara zake.

Hasara zawezakuwa ni kule uzao huo kwenda kinyume na matarajio yako,ikitokea hivyo utapata maumivu badala ya faraja.

Lakini mara nyingi sana watoto wa nje ya ndoa, ingawa sishauri ujihusishe na uvunjifu wa maadili, lakini hubarikiwa uwezo mkubwa sana wa kiakili na wa vipaji, ninazungumza kwa uzoefu mkubwa, huwa sielewi sababu kwa nini inatokea hivyo.
This is Very true mkuu,nashangaa hata sisi imetokea hivyo kaka.
 
Back
Top Bottom