AmiiiiinPole,
Acha mawazo mabaya juu ya mkeo ..
Anza kuwaza mema juu ya familia yako...
Muombe Mungu tu watoto wako atawapa akili, atawafanya watoto wako kuwa kichwa wala sio mkia...
Anza kwa kuomba Toba na Rehema kwa ajili yako na ukoo wako na mkeo, Zaburi 51 itakuongoza...
Komboa uzao wako kwa kuwatolea sadaka watoto wako na uzinenee sadaka hizo kile unataka...
NB: Uovu utokao kwa ukoo baba na mama mara nyingi ndio tatizo. Wengine waliweka mipaka kuwa watoto wao hawatasoma.
Biblia inasema nitawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha nne. Kutoka 20:5
Huwezi ukazaa nje halafu ukasema ilitokea tu haiwezekani,nje tunavaa njumu daima ukiamua kuvua maana yake umedhamiria kutia mimbaWatoto Wana umri gani!!?mbona umekata Tamara mapema!?
Kuzaa nje huwa hatupangi inatokea TU for purpose kwamba Mungu alishaplan sura za Waja wake na lazima at one point kwenye maisha zitokee!!usipange itatokea TU kama huyo ulienae na visa ,kisrani,umwamba,kushindana,dharau,mind games,Hila,Sanaa,vituko Hadi unashangaa,yakitokea hayo lazima utatafuta faraja nje na huko ndio effect huonekana mapema sana!!
Usimkatie Tamara mtu alieumbwa na Mungu coz wakati wowote mtu anaweza kuwa chochote usichotarajia!!
Watolee sadaka ukinuia kuwaombea vile unataka!!Tunaishi katika ulimwengu ambao sio wote wenye hekima na akili hushiba chakula Bali bahati humpata yeyote mkuu!!
Mungu haishiwi maajabu yake mkuu!!
Usipange hayo yatakuja yenyewe!!
Je unajua kulinda haki za watoto wa nje?Nitamficha huyu mdogo Mkuu,watajuana kwenye msiba wangu nikifa
Nani kakudanganyaNitamficha huyu mdogo Mkuu,watajuana kwenye msiba wangu nikifa
😂Watoto wamefata akili za baba yao.. shemeji ajiongeze apate mbegu ya mtu smart Kama Gentamacin
Unataka nitukanwe haha sijamtag makusudi