Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Cha kwanza hakikisha wanapozaliwa unawachukulia vyeti vya kuzaliwa kwa jina halisi la baba yao, yaani la kwako.Nipe elimu Mkuu,sijui ni haki zipi
wangu mimi mwanamke ili mradi tu ana uwezo wa kubeba ujauzito akazaa na ni meridhika na uzuri wake mi naoa na ninaishi nae vizuri hayo mengine sio sifa kwa mwanamke. Kaxi yake kubwa ni kukuletea watoto. Kamaio mazezeta hao hawana shidaNilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.
Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu.
Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao, nikafikiria kuongeza mke wa pili ila hili liko nje wa uwezo wangu.
Mwisho nikaona nichochore nizae hata wawili watatu huko nje lakini kabla sijafanya mamuuzi nimekuja kwenu mnifahamishe mambo kadhaa kuhusu hilo suala, Karibuni.
Inashangaza sana....
Shukuru Mungu kupata mwenza mnayeendana kimawazo pamoja na kuelewana.
Omba afe mkeo uoe mwingineeNitamficha huyu mdogo Mkuu,watajuana kwenye msiba wangu nikifa
Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.
Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu.
Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao, nikafikiria kuongeza mke wa pili ila hili liko nje wa uwezo wangu.
Mwisho nikaona nichochore nizae hata wawili watatu huko nje lakini kabla sijafanya mamuuzi nimekuja kwenu mnifahamishe mambo kadhaa kuhusu hilo suala, Karibuni.
Acha Ubinfasi siyo mzuri, na yeye je unataka akazae nje ya ndoa yenu. Kaa tulia mlee watoto wenuNilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.
Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu.
Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao, nikafikiria kuongeza mke wa pili ila hili liko nje wa uwezo wangu.
Mwisho nikaona nichochore nizae hata wawili watatu huko nje lakini kabla sijafanya mamuuzi nimekuja kwenu mnifahamishe mambo kadhaa kuhusu hilo suala, Karibuni.
Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.
Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu.
Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao, nikafikiria kuongeza mke wa pili ila hili liko nje wa uwezo wangu.
Mwisho nikaona nichochore nizae hata wawili watatu huko nje lakini kabla sijafanya mamuuzi nimekuja kwenu mnifahamishe mambo kadhaa kuhusu hilo suala, Karibuni.
Mndewa kwa kweli nimecheka ila nakuelewa mnooo ulichoandika ,mimi mwenyewe umri umesogea kidogo lakini yalinikuta huko nyuma na nikawaza kama wewe,..Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.
Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na tumejaaliwa watoto watatu.
Kinachonipasua kichwa ni kitu kimoja Watoto wote watatu akili kama za mama yao, nikafikiria kuongeza mke wa pili ila hili liko nje wa uwezo wangu.
Mwisho nikaona nichochore nizae hata wawili watatu huko nje lakini kabla sijafanya mamuuzi nimekuja kwenu mnifahamishe mambo kadhaa kuhusu hilo suala, Karibuni.
Ulivuna ulichopanda,Kila siku mnaambiwa utamu ya chai ni sukari sio rangi lakini hamsikii.Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake.