Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

kwahiyo ulisomea tourgide
 
Ni kweli kabisa...! Unacho zungumza ndugu yangu tutafutane...Sisi ni ndugu
 
Umeandika ukweli mtupu, binafsi ningefanya kama ulivyo andika. Huyu ilipaswa atafute kazi kwa muda huu afanye wakati huo akizoea na kupata ufahamu wa mji kisha baada ya hapo anaweza kufanyia jambo wazo lake.
 
Msijali...Kila kitu kitaenda sawa tu...!
 
Sasa Mkuu kwanini usifanye hizo kazi maana tayari unaonekana una exposure nazo zaidi kuliko hii ya kupokea na kutembeza wageni toka Tz,.. ama hii umeona inalipa zaidi ya hizo za kuajiriwa?! Samahani lakini... don't get offended.!
 
Mimi napenda kuwa huru...hivi sasa nimeshaanza kufanya biashara zangu...hivyo nikianza kuhangaika na watu wanao jitafuta watanipotezea muda...!

Imagine mtu anakutafuta kuwa umtafutie kazi mwisho wa siku kazi ikimshinda tunaanza kusumbuana tena...!​
 
Hii picha ni kama nafananisha na jamaa mmoja niliyekutana naye pale dubai airport ule upande wa emirates nikiwa narudi nyumbani ukaniomba nikuletee kipaseli huku bongo.Ila nikagoma.sababu kilikuwa kimeahafungwa tayari so sikujua ndani kilikuwa na nini.
 
Ukahisi bomu ama ngada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…