hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Haya ndo mambo ya binadamuMuonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.
Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Hapo ndo unaharibu mpambanaji, shusha nondo sell yourself. Mtu akiona details tayari bonge la marketing. Tumia huu uzi kuonyesha competence ya kazi yako. Point to note usichukulie potential clients wako watakua ni masela tu bali watu wenye personalities mbalimbali, so take care ktk kauli/response zako, mipangilio ya mavazi/appearance yako (nafkiri hata yule mdau aliecomment mwanzo kabisa alimaanisha hili na sio size ya mwili/afya Kama wengi walivyomshambulia). Don't give up ni idea nzuri Sana ukiipa muda wa kutosha ili ufahamike na kuaminika.Nipigie tuzungumze Whatsapp +971581480619
😂😂😂 We jamaa unadharau sana,eti dalali wa Buza.Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.
Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Mbona mwonekano wake upo vizuri?Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.
Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Teja hawezi kuwa na mwonekano nadhifu kama huo! Atakayemtilia mashaka ni yule tu ambaye anaamini kuwa:Jenga shavu kidogo. Nadhani wadau wanamaanisha hivyo. Maana wanaweza dhani wewe ni teja. Kumbe wala maskini au ndo afya za prof Janaba?
poaMbona mwonekano wake upo vizuri?
1. Mnadhifu/Smart
2. Mwonekano wake unaonesha ana IQ kubwa
3. Si mla "hovyo"
Nipe namba yako nikutumie laki 5.Aisee! Sasa muonekano una shida gani? We chukua maelekezo kama hayakufai pita vile.....
Nakutumia saiziNipe namba yako nikutumie laki 5.
Bosi kalewa anagawa mihela tu hawajakuambia wenzio?Nakutumia saizi
Circle yangu ndogo hawajaniambia😅Bosi kalewa anagawa mihela tu hawajakuambia wenzio?
Hahahaaahaa 😁😁😁Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.
Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Circle yangu ndogo hawajaniambia
Mkuu kuna baadhi ya kazi tunaangalia muonekano, eg. Huwezi niambia wewe unatembeza wataliii wakati umenyoa Denge afu suruari crazy, unatembea unadunda afu suruali mlegezo...Wafrika tuna shida sana. Watu hawajali mwonekano.
Hasa kama unataka kufanya kazi fulani inayokuunganisha na watu kila siku.
Na ndiyo maana matapeli watanashati wanafanikiwa sana kwenye kutapeli..!! Umaridadi huficha mengiKwa mfano mtu ni mgonjwa mahututi na akamkuta jamaa ndio Dr wa kumfanyia upasuaji etc je angeangaliwa kwanza muonekano wake
NB Kuna baadhi ya kazi mtu ukifanya muonekano na haiba ni muhimu kuzingatia
ShemMkuu kuna baadhi ya kazi tunaangalia muonekano, eg. Huwezi niambia wewe unatembeza wataliii wakati umenyoa Denge afu suruari crazy, unatembea unadunda afu suruali mlegezo...
Lakini kwa muonekano wa brother mimi sioni kama kuna shida,
Ofcoz na sura ni muhimu kuzingatia unapoajiri mtu kwenye kazi ambayo sura ni kipaumbele...
Cassnzoba Gifted Girl sweery Alice_
Abee shemShem