Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.

Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Haya ndo mambo ya binadamu
 
Nipigie tuzungumze Whatsapp +971581480619
Hapo ndo unaharibu mpambanaji, shusha nondo sell yourself. Mtu akiona details tayari bonge la marketing. Tumia huu uzi kuonyesha competence ya kazi yako. Point to note usichukulie potential clients wako watakua ni masela tu bali watu wenye personalities mbalimbali, so take care ktk kauli/response zako, mipangilio ya mavazi/appearance yako (nafkiri hata yule mdau aliecomment mwanzo kabisa alimaanisha hili na sio size ya mwili/afya Kama wengi walivyomshambulia). Don't give up ni idea nzuri Sana ukiipa muda wa kutosha ili ufahamike na kuaminika.
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.

Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
😂😂😂 We jamaa unadharau sana,eti dalali wa Buza.
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.

Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Mbona mwonekano wake upo vizuri?
1. Mnadhifu/Smart
2. Mwonekano wake unaonesha ana IQ kubwa
3. Si mla "hovyo"
 
Jenga shavu kidogo. Nadhani wadau wanamaanisha hivyo. Maana wanaweza dhani wewe ni teja. Kumbe wala maskini au ndo afya za prof Janaba?
Teja hawezi kuwa na mwonekano nadhifu kama huo! Atakayemtilia mashaka ni yule tu ambaye anaamini kuwa:
1. Mwenye kitambi ni tajiri
2. Upara ni usomi
3. Mvaa koti jeupe ni Daktari
 
Muonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.

Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.

Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.
Hahahaaahaa 😁😁😁
 
Wafrika tuna shida sana. Watu hawajali mwonekano.
Hasa kama unataka kufanya kazi fulani inayokuunganisha na watu kila siku.
Mkuu kuna baadhi ya kazi tunaangalia muonekano, eg. Huwezi niambia wewe unatembeza wataliii wakati umenyoa Denge afu suruari crazy, unatembea unadunda afu suruali mlegezo...

Lakini kwa muonekano wa brother mimi sioni kama kuna shida,
Ofcoz na sura ni muhimu kuzingatia unapoajiri mtu kwenye kazi ambayo sura ni kipaumbele...
Cassnzoba Gifted Girl sweery Alice_
 
Shem
 
Back
Top Bottom