hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Haya ndo mambo ya binadamuMuonekano wako mbona kama unahitaji wa kukushika mkono na wewe mwenyewe huko Dubai, ni kama fursa zimekupitia kushoto.
Boresha muonekano wako kwanza ndio uweke tangazo. Hiyo picha yako imekaa kama wewe mwenyewe ni tatizo kuliko kuwa suluhisho. Ni ngumu mtu kukuamini.
Na siongelei muonekano wa mwili namaanisha ulivyojiweka, unafanana na dalali wa vyumba wa Buza kwalulenge.