Kwa mnaotaka kuja Dubai, huu ni uzi wenu

Ndio maana DUDE wa kwenye bongo dar es salaam analikua Ana wa win watu wengi Sanaaaa..

Hii synopsis ya kuwa judge watu kwa appearance zao ipo Sanaa huku kwetu afrika mkuu 😊😊
Amini mkuu na bado mpaka kesho posta kuna majamaa yanatembea na suti muda wote wanajifanya usalama kumbe matapeli tu.
 

Waswahili akili zao za kijinga Sana wanaishi zama za mawe yaani unamwamini MTU kupitia mwili 😁 akili za kijinga kabisa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…