Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Endelea kuumia, watu tunakuja hapo tunagonga menyu saafi na kulala park lodge then tunarudi makwetu .zimebaki siku 16 tu natimba hapo [emoji109]
Tulongosanie [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Vigezo vya chura vimekamilika? tupia vipicha tukufanyie tathmini..
Kwan wadhungu wanapenda vyura nao? Unanikatisha tamaa ujue kila nyuzi unanicrush..why jamani whyπŸ˜ƒ! Kitaeleweka mbele kwa mbele..vigodoro vipo babe
 
Kuna uwezekano wa kufanya biashara ya nyama kwenda Norway?bei ya nyama ipo juu, ukiwa na mtaji wa kutosha utatoboa.
Shida itakuja kwenye vibali, lazima upitie mchakato wa kuthibitisha ubora wa wanyama na nyama yenyewe na kuondoa uwezekano wa kuingiza magonjwa hatari ya mifugo...
 
Nauli ni baada ya kukidhi vigezo....hatuwezi kupeleka timu mbovu kwenye mashindano ya olympic..
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ikala kwenuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ!
 
nataka kwenda Armenia mwishoni mwa mwezi huu Juni, kama kuna mtanzania yeyote huko anitaarifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…