Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Hebu nitumiemo picha yako Wangari MaathaiMkuu...wanawake wenye miili yao huko vipi? Yaan wenye kiuno kilichojikata wanasoko?? Makalio makubwa wana thoko? Nimuunganishe shogangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nitumiemo picha yako Wangari MaathaiMkuu...wanawake wenye miili yao huko vipi? Yaan wenye kiuno kilichojikata wanasoko?? Makalio makubwa wana thoko? Nimuunganishe shogangu
Ili iweje? Hamjuagi hata utani...mtu nnakaribia 53 naanzaje kuhangaika kwenda nje nikaolewe😏! Walojua utani walishajua ..Hebu nitumiemo picha yako Wangari Maathai
Pesa yao Ina thamani kuliko ya Tz Ila sio sanaSasa embu toa ufafanuzi kidogo uthamani wa hiyo hela ya huko dhidi ya kwetu, maana unazidi tu kunichanganya.
Wanatumia uero ama kitu gani na hudai kuwa inathamani sana kuliko yetu!
Sasa kwa mwendo huo wa kununua kilo ya nyama tisini elfu, hiyo hela inaizidije thamani shilingi ya Tz, kama kwenda kwenye manunuzi mpaka uwe na sandarusi la pesa, wakati Tz noti1 elfu10 unarudi na chenji?
Haina shidaHii thread iko kitapeli mnoo.
Kuna watu wanakwenda kutapeliwa hapa JF kiulaini sana.
Kwa kuwasaidia baadhi ya watu hapa JF ambao hawajawahi kufika ulaya, taarifa nzima ya gharama na mfumo wa maisha ya eneo lolote husika katika nchi ya Norway inaweza kuipata kwa usahihi wa karibu 99% kwenye mitandao ya taarifa rasmi za nchi ya Norway. Unaweza kujua hata bei ya kununua changadoa na ukapewa, huhitaji kuja kulishwa matango pori ya wajanja na matapeli wa hapa JF.
Kwa mfano kupitia websites za;
-numbeo.com
-fullsuitcase.com
Sawa kakaHakuna kitu bei chee Ulaya kama chakula! Nchi nyingi za Ulaya hasa EU zina standard moja ya maisha,tofauti ni ndogo sana. Sijafika Norway ila sidhani kama kilo ya nyama inafika 70,000! Nakumbuka enzi tunapiga box nyama ya kuku tulikuwa tunanunua kwenye box unachagua mapaja au vidari na box kubwa sana tunakula wiki nzima watu watano na wageni wakitokea, box lilikuwa £12, mchele Basmati kg5 ilikuwa £12-15,nyama lamb kilo £3 hivi nyama ya ng'ombe iko juu kama £4 kwa kilo au zaidi kidogo, mazagazaga mengine mostly kwenye makopo kwenye supermarket majuisi,yoghurt,etc bei chee tu. Kwa mishahara ya kubeba box hata minimum wage huumizi kichwa kwenye kula,kuvaa,kulala ndio maana unaona watu wakitoka majuu kuja bongo wanang'aa sana hata kama hawana hela za kujenga magorofa.
🤣🤣🤣🤣 hatari sana.katika pitapita zangu zote majuu, nilichowaapreciate na kuona wametupita mbali sana na hatutakuja kuwakuta ni tabia ya usafi, kila kitu kisafi kuanzia mazingira ya nje, makazi, vyakula, usafiri, magari yote mapya, watu wasafi, hukuti nzi hata sehemu moja utatafuta inzi hutamkuta, hadi hewa safi. ukifika kule hata ukila chakula cha kimasikini tu ile kukaa miezi miwili mitatu hadi ngozi inabadilika unanawiri, yaani Mungu kawabariki upako wa maisha mazuri hadi ya hewa inakunawirisha hata kama hali yako ya chini tofauti na bongo mtu ana mihela lakini kakomaa utafikiri anachuna ngozi za watu, ukitoka huko kushuka tu uwanja wa dsm, kuanzia harufu ni tofauti kabisa, mazingira tofauti, watu tofauti hafuru ya umasikini imetapakaa kila mahali. Mungu atusaidie waafrica.
katika pitapita zangu zote majuu, nilichowaapreciate na kuona wametupita mbali sana na hatutakuja kuwakuta ni tabia ya usafi, kila kitu kisafi kuanzia mazingira ya nje, makazi, vyakula, usafiri, magari yote mapya, watu wasafi, hukuti nzi hata sehemu moja utatafuta inzi hutamkuta, hadi hewa safi. ukifika kule hata ukila chakula cha kimasikini tu ile kukaa miezi miwili mitatu hadi ngozi inabadilika unanawiri, yaani Mungu kawabariki upako wa maisha mazuri hadi ya hewa inakunawirisha hata kama hali yako ya chini tofauti na bongo mtu ana mihela lakini kakomaa utafikiri anachuna ngozi za watu, ukitoka huko kushuka tu uwanja wa dsm, kuanzia harufu ni tofauti kabisa, mazingira tofauti, watu tofauti hafuru ya umasikini imetapakaa kila mahali. Mungu atusaidie waafrica.
Wala sina hasira mkuu naona mavilaza yashashadia balaa...nyooNimejifunza kutokuwa na hasira humu, ukiwa na hasira tu basi
Sio kweli, wao wanaona pia ni gharama sana
Kuna mtu huko nyuma kasema umempiga mtu 7m ni kweli?Sawa kaka
Kweli huna hasiraWala sina hasira mkuu naona mavilaza yashashadia balaa...nyoo
We naye ..!Kweli huna hasira